Hamadi Rashidi achoma moto misumeno 40 huko Visiwani Pemba

dingi yangu analo ila limekufa.
Mkuu fanya fanya umpeleleze mshua imekufa vifaa gani then rudisha mrejesho kwangu tufanye biashara chemba(seriously)!
Haka ka kitu ukiwa nako huku maporini wallah hufi njaa...
 
Mkuu fanya fanya umpeleleze mshua imekufa vifaa gani then rudisha mrejesho kwangu tufanye biashara chemba(seriously)!
Haka ka kitu ukiwa nako huku maporini wallah hufi njaa...
rb hiyo mkuu wala usiyatafute
 
hamad naye ni list ya wapinzani?
ila nimpongeze kwa hilo.. na kubwa zaidi wazuie misumeno hiyo kuingia Zanzibar.
 
Moshi ukidakwa nayo ni bora udakwe na pembe za ndovu! Au ukihisiwa unayo nyumbani unadakwa nayo na faini milion 5 na kifungo miaka 5 hamna cha mahakamani ni kupoteza mda!!
Umenichekesha sana kwa hiyo kwa kina mangi bora ukutwe na pembe
 
Back
Top Bottom