Mkoa wa Kilimanjaro kama sikosei huko nimepiga sana hela ya magogo maeneo ya milima ya kilimanjaro kupita tarakea kuna viwanda vya magogo pale tunakodi tunayachana tunasafirisha chain saw kule wamezipiga marufuku ila sijui kwa sasa hvi tangia 2010 sijawah kufika kule... Moshi sehemu gani?