Apta Kayla
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 324
- 71
Kwa waliosikiliza kipindi cha Baragumu cha Channel Ten asubuhi hii watakuwa wamesikia maoni ya Hamadi Rashidi kuwa Mswada huo ni mzuri na watanzania tunatakiwa kuunga mkono, baada ya kipengele cha mada kuisha waaendeshaji wa kipindi waliona ni busara kupata maoni ya kiongozi mwingine wa CUF na Mtatiro akapigiwa simu, kwa nguvu za Hoja like jinsi Rais alivyo na madaraka makubwa katika mchakato huu kuanzia kuteua wajumbe wa tume maalum na mambo mengine, Mtatiro ametamka wazi mswada huo ni MBOVU na haufai kwani unajenga Msingi Mbovu kuelekea kupata Katiba Mpya, Hii mnaionaje great thinkers?