Hamad Rashid: Zitto ataondoka na wengi!

Hamad Rashid: Zitto ataondoka na wengi!

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,206
Reaction score
162,774
DSC005731.jpg




Hiyo ni kauli ya Zitto ambapo gazeti limeripoti akisema watamkoma na huku Hamad Rashid akisema ataondoka na wengi.

Kichwa cha habari katika gazeti kinasomeka:
"Zitto:Watanikoma"

CHANZO:Jamboleo

My take;
Kama kweli hayo ndio matamshi ya Zitto,basi huyu dogo ni very arrogant na hapaswi kuhurumiwa hata kidogo.
 
Mfa Maji Haachi Kutapatapa, Is too late, Mbona alifukuzwa Siku Nyingi na hakuna Impact yoyote ambayo CHADEMA imefeel. Kashachelewa Labda atawapata watu wa Jimboni mwake; Watanzania Kwa Sasa Tunaongelea Kuwapa DOLA UKAWA na sio CHADEMA.

Kufutiwa/Kufukuzwa Uanachama ni Jambo ambalo si geni kwa Siasa za Tanzania, Tumewaona wanasiasa wengi tu katika hili. Sidhani Zitto yeye anaweza Kutushangaza sana WaTZ Kiasi cha Kutubadili Mwelekeo Tulionao.

Yeye aende aendako hata CCM walikokuwa Wanapeleka Taarifa lakini Mwisho wa Siku UKAWA Ndio habari ya Mjini.
 
Mfa Maji Haachi Kutapatapa, Is too late, Mbona alifukuzwa Siku Nyingi na hakuna Impact yoyote ambayo CHADEMA imefeel. Is too late Kutamka hayo Kwa Maana Watanzania Kwa Sasa Tunaongelea UKAWA na sio CHADEMA.
Don't say that, CHADEMA was already facing a political hemorrhage,if not UKAWA we would have been saying different things right now. Sometimes you have to accept the reality, live with it and move on instead of being so adamant against the reality, you might end up losing.
 
Maisha ya kisiasa yashakuwa ubwabwa unaopikwa chini moto juu moto so Kauli ya aina yoyote yaweza kumtoka mtu
 
kweli mtu yoyote tabia yake na fikra zake nzuri zinaonekana wakati wa hali ngumu anayopitia.
ninaanza kuamini hata uraisi hafai kabisa!!!…
nimetegemea hekima nzuri kwa zito nyakati hizi lakini sasa!!!!!!
 
Sidhani kama hii ni kauli ya Zitto.. Kama kweli ameitoa hii kauli nina mashaka na akili yake.

Hakuna mtu wa kuweza kukizidi Chama/ Taasisi.....
 
Haya maneno katamka.isije ikawa mnalisha watu maneno ya uongo.
 
Don't say that, CHADEMA was already facing a political hemorrhage,if not UKAWA we would have been saying different things right now. Sometimes you have to accept the reality, live with it and move on instead of being so adamant against the reality, you might end up losing.

I respect your position but in reality the guy is no longer a popular politician, in fact has no Convincing power such his dismisal to disturbilize CHADEMA. I said Currently we're talking of UKAWA and not CHADEMA, so Zitto's evil Plans won't bear any fruits.
 
kweli mtu yoyote tabia yake na fikra zake nzuri zinaonekana wakati wa hali ngumu anayopitia.
ninaanza kuamini hata uraisi hafai kabisa!!!…
nimetegemea hekima nzuri kwa zito nyakati hizi lakini sasa!!!!!!


Hata mimi nazidi kumshangaa huyu Jamaa...n Kwani yeye ndio wa kwanza kuhama Chadema???

Huu ni wakati mafaka wa kuchunga kila neno linalotoka kinywani chake.
 
Sidhani kama hii ni kauli ya Zitto.. Kama kweli ameitoa hii kauli nina mashaka na akili yake.

Hakuna mtu wa kuweza kukizidi Chama/ Taasisi.....

CHADEMA sio taasisi ni mali binafsi ya MTEI
 
Hayo maneno kayasema Hamad Rashid sio Zitto. Mtoa mada kua makini.
 
Mtu mzima hatishiwi Nyau Zitto ameshajifia aondokage na wafu wenzake wakazikane salama.
 
.... Yuko Sahihi Kusema Hivyo Kwasababu Siyo Wote Wanaomchukia Ndani Ya Chama

Yuko sahihi kuwaamulia walio wengi au maanake nini.huyu kunguni anajiona anapendwa na watu kumbe anajidanganya msaliti huyu.hata siku moja zito haji kuwa kiongozi muadilifu ni mla rushwa mkubwa
 
Zitto ni mwanasiasa mzuri lakini pia anahitaji kukomaa. pengine sifa alizozipata akiwa mdogo zinamlewesha na kumzuia kukomaa. Ipo mfano ya matatizo ya watu walioruka rika katika ukuaji wao. Kuna kauli anazitamka zina ukakasi kweli. Amekuwa akikazana kutoa mfano wa Waziri Mkuu wa Malaysia na kujitanabaisha naye akitaka kuaminisha watu kuwa ni yeye tu anayeweza kuleta mabadiliko siyo tu katika chama chake bali hata kwa nchi. Leo nasikia anawaambia watu wake wa Kigoma kuwa iko siku atawaongoza na kuwatumikia watanzania katika nafasi kubwa! Anapaswa kujifunza na kunena kwa kadri. Akumbuke sifa zinapita na zinaweza peperuka kwa upepo.
 
Back
Top Bottom