Hamad Rashid: UKAWA ni Boko Haram

Hamad Rashid: UKAWA ni Boko Haram

Hamadi hakumbuki kama alikuwa kiongozi wa upinzani bungeni. Anachofanya sasa anathibitisha kuwa alikuwa anawasaliti wenzake wakati akiwa kiongozi wao.
 
Hamadi anasema kwann serikali isiwazibiti ukawa...aise huyu jamaa hazimo kweli.
 
Huyu mzee ni mtu asiyefaa na anahitaji kupuuzwa tu hakuna zaidi. Amejawa na chuki binafsi na uroho wa madaraka ndo maana CUF walimtosa. Aishukuru sana mahakama la sivyo angekuwa historia kwenye medani za siasa.
 
Hamadi njaa mbya sna..unasaliti utu wako kisa njaa..pole sana hamadh
 
Hamadi hakumbuki kama alikuwa kiongozi wa upinzani bungeni. Anachofanya sasa anathibitisha kuwa alikuwa anawasaliti wenzake wakati akiwa kiongozi wao.

Ndiyo maana anakelwa na tabia ya upinzani wa leo kwasababu yeye wakati wake hakuwa na upinzani wa kijinga kama wa leo ambao unalenga kuvunja nchi.
 
uongozi wake ulikuwa bora mara 100 ya huu wa sasa wenye fujo na kususa susa tu aliwajumuisha wa vyama vingine including chadema.

Hamadi hakumbuki kama alikuwa kiongozi wa upinzani bungeni. Anachofanya sasa anathibitisha kuwa alikuwa anawasaliti wenzake wakati akiwa kiongozi wao.
 
Hamadi njaa mbya sna..unasaliti utu wako kisa njaa..pole sana hamadh

mkuu nisaidie nani mwenye njaa kati ya malimu selfu ambaye analipwa mshahara na ccm na yule hamad ambaye anaendesha maisha yake kwa kujitegemea mwenyewe.
 
Abubakar Shekau kwa Upande wa Ukawa ni nani ha!ha! jamani viongozi wetu agalieni nini mnachokisema na ni wakati gani sio kusema tu ili mradi umesema!!
 
Ingekuwa zamani ungewaita Golillar katika vita wanakimbia uwanja wa vita wanaelekea msituni ili kuvizia, kwa wakati huu ni Boko Haram ndio wanaokimbia uwanja wa wazi wa Vita kupambana na wanaume wenzao wanakwenda msituni na kuteka na kuua wasio na Hatia.

Sasa katiba wote tumekubaliana itafutwe kwa mchakato sasa sasa UKAWA wametoka nduki kutafuta uwanja wa kuvizia na kujumuisha wasio na hatia. Wewe ungewaita Nani kwa wakati? Hamad is right!

Viongozi
wetu wachague
maneno

ya kuzungumza !
Boko haram!

.hapana !--!!
 
Ubunge alionao kapewa na serikali kwa sahani ya mahakama,rejeeni Kafulila alipotimuliwa na Mbatia alikuwa mpole wala hakuwa na makeke kwa kuwa alikuwa na mbeleko ya Mahakama na hata sasa Zitto Kabwe bungeni hachangii tena kama zamani na sana sana hawezi ikosoa serikali kwani Ubunge na vyeo vyake vinahisani ya CCM na hata huu ujumbe wake wa SADC kapendekezwa na jeykey kwa sababu maalumu!!
 
Hamadi rashidi alifanya vema kabisa wakati wa uongozi wake hajatokea mpinzani kama yeye kwa hawa wapinzani waliopo hatatokea.
 
Mbunge wa wawi hamad rashid amesema ukawa ni boko haram,wanaeneza chuki serikal inawangalia tu.magezeti asubuhi rfa

Hajui anachosema huyu
UKAWA na BOKO HARAM tofauti kabisa huwezi kuwafananisha kwa namna yeyote ile!!
 
Back
Top Bottom