Hamad Rashid amesahau 1995 - 2000?

Hamad Rashid amesahau 1995 - 2000?

Pasco;

Kiongozi wa Upinzani Bungeni anapata tena bure kabisa BIMA NONO YA AFYA nchini TZ au hata huwa hamna usumbufu kabisa kwake tofauti na Mbunge wa kawaida kama ataamua kwenda nje ya nchi kupata matibabu ya afya yake!

Pia kidemokrasia ndiye anayepaswa kutaarifiwa kwanza na serikali iliyopo madarakani mambo muhimu yanayohusu dola ya Bunge ikiwemo ni lini na saa ngapi Rais atafika kulihutubia Bunge.

Mkuu wa Upinzani Bungeni sehemu yeyote duniani ina ulaji sana hata sikushangaa kabisa kusikia Mbunge Hamad wa CUF bado anaitolea udenda nafasi hii!

Asante malafyale. Wasalimie Wanyakyusa!
 
Makinda kazuia kwa sababu nchi imefilisika, hakuna pesa kabisa otherwise CCM walivyo vibonde wangeridhia kambi ndogo...
 
Aungane na CCM kama walivyoungana nao Zenji, labda ataweza pewa uwaziri.
 
Hamad Rashid alikuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ( bunge la tisa) 2005-2010.Kwa wakati huu wa bunge la kumi ambapo Chadema wamepata uhalali wa kikanuni wa kuunda kambi ya upinzani bungeni kwa kufikisha asilimia 12.5% ya wabunge wote bado Hamad Rashid anajaribu kujenga mazingira kwamba ni lazima kambi hiyo iwe ya wote.Kwamba ule uhalali wa CDM kuunda kambi hiyo sasa unakuwa ni lazima na wengine.Mwaka 1995 kuelekea 2000 CUF waliunda kambi ya upinzani bungeni wakishirikiana na UDP waliokuwa na wabunge 4 ili kwa kuwahusisha na wa UDP wafikie asilimia 12.5% kama taratibu zinavyosema.Waliwaacha NNCR nje tena NCCR mageuzi walikuwa na wabunge 28.Ni vizuri CUF wakaelewa kwamba kwa sasa (2005-10) CDM ndio wenye haki ya kuunda kambi ya upinzani bungeni.

Mkuu! sikuwa na takwimu hii, katika mojawapo ya post zangu nimependekeza CDM iwakaribishe japo kwa Masharti makali. Nadhani hakuna haja ya kushirikiana nao. Pili Rashidi alisema hawataki kuchaguliwa marafiki lakini pia wasitake kukichagulia chadema marafiki. TLP na NCCR walikituhumu chadema kumuua Chacha Wangwe wakijua kuwa walikuwa wanapotosha ukweli ili kujenga chuki dhidi ya chadema. Hakuna haja ya kushirikiana na watu kama hawa. CUF wakitaka wakubali Masharti ya CHADEMA.
 
Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni ndiye waziri mkuu kivuli, hivyo anapata
  1. Ofisi pale bungeni Dodoma yenye wafanyakazi 4 na ofisi ndogo Dar es Salaam yenye wafanyakazi 2
  2. Nyumba ya serikali pale Dodoma yenye watumishi wawili na ulinzi 24/7
  3. Gari la serikali lenye hadhi, na dereva/bodyguard, mafuta kumwezesha kuzunguka nchi nzima.
  4. Posho kama ya Waziri Mkuu.
  5. Ndiye mtu wa kwanza kuulizwa swali kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa papo.
  6. Kipaumbele kwenye safari za nje
  7. etc etc
Sasa yote haya uyakose!, hata ningekuwa mimi, ningeomba kanuni zibadilishwe na kupata japo nusu ya marupurupu haya!
Hili sikulijua kabla, asante kwa shule ya leo
 
Bunge la 2000 hadi 2005 CUF waliwashirikisha Chadema kwenye kambi ya Upinzani! Sasa hapa nani mrafi wa madaraka kama sio Mbowe na Chadema? Maskini akipata makalio hulia Mbwata!

Walishirikisha CDM kwa sababu hawakuwa na sifa kuunda kambi peke yao. Kuwa muelewa
 
Ulafi ulipitia na huku pia......

CUF mounts pressure on President Karume's third term
01_10_e1vqge.jpg
PRESIDENT Amani Abeid KarumeMore News

DAILY NEWS Reporters, 15th January 2010 @ 21:00, Total Comments: 1, Hits: 713

THE Civic United Front (CUF) has mounted pressure on its demand for an extended term of office for Zanzibar President, Amani Abeid Karume and has called for an amendment of the constitution to facilitate the move.

CUF's Director of Foreign Affairs and International Relations, Mr Ismail Jussa, says his party wants an amendment of Section 29 of Zanzibar's constitution to pave way for extension of President Karume's term.

In a telephone interview with the 'Daily News On Saturday' yesterday, Mr Jussa noted that there is a provision in the Zanzibar constitution that allows an extension of a presidential term in certain emergencies.

"This is surely an emergency because we want to maintain peace and order for the welfare of the people of Zanzibar. The constitution should, therefore, be amended to allow President Karume to continue for not more than two years," he noted.

Mr Jussa further noted that such amendment can be done without delay, if leaders in Zanzibar were really committed to promote unity and solidarity.

On why CUF leaders have been in the frontline in the crusade for Mr Karume's term extension, Mr Jussa confirmed that the recent reconciliation between the two parties "was the brainchild of Mr Karume.''

"Mr Karume was the brains behind the reconciliation and he did that beyond his personal and CCM's interests. "No any CCM potential presidential contender (for Zanzibar) has ever commended Mr Karume for such decision. This shows that they're not committed to such initiative," he observed.

The CUF leader pointed out that the move to back the extension was being supported by CUF leaders, members and the majority of Zanzibaris, who want to see peace and solidarity prevail in the isles.

According to him, it is only Mr Karume who has managed to achieve such a breakthrough. He noted that many previous initiatives failed.

The leader of the official opposition in Parliament, Mr Hamad Rashid Mohamed (Wawi-CUF), also backs the move to extend the term, saying the move would sustain the reconciliation.

Naila Majid Jidawi, a prominent Zanzibar politician who has served in different capacities in CUF, argued that there was need to give the two leaders time to finish their differences and enter this year's elections on a peaceful note.

Constitutionally, Mr Karume has to leave office this year as he pointed out last Tuesday, at the climax of the 46th revolution anniversary in Pemba Island, saying he was finishing his term in office, "as the constitution does not allow the third term."

Mr Hamad told academicians, politicians, religious leaders and representatives from NGOs at a meeting held at Bwawani Hotel in Pemba, that President Karume's presence was now very important in uniting Zanzibaris.

The Zanzibar Electoral Commission (ZEC) chairperson, Mr Khatib Mwinyichande, said that his commission was going on with preparation for the next general elections as per laws and constitution, saying, "We cannot cancel the elections unless there was constitution amendment.

Meanwhile, more than 3,000 people, led by CUF Secretary General, Mr Seif Sharrif Hamad and the Zanzibar Mufti, Sheikh Harith Khelef, gathered at the Maisara grounds to pray for peace, stability and unity, ahead of the CUF demonstration this morning.

Angalia huyu alivyocomment sasa.....

Total Comments on the above stories (1)

CommentCUF are you sick in your own head or are you in medics? What kind of deal do you have with Prz, Amani karume ,that any other zanzibari can not make it? It is suprising at seeing, the way you guys are so adamant on having Karume to stay much longer than what our constitution spelled our on his term in office.Your problem with CCM is is too mild to catch the attention of constitution ammendment on captains' terms in office, so be quiety, step back to your office and behave, yo know what am saying? Don't ever prove to us that, you know much to play a kite game in ya back yard than politics in ya own office!!!!!!!
 
Hamad Rashid alikuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ( bunge la tisa) 2005-2010.Kwa wakati huu wa bunge la kumi ambapo Chadema wamepata uhalali wa kikanuni wa kuunda kambi ya upinzani bungeni kwa kufikisha asilimia 12.5% ya wabunge wote bado Hamad Rashid anajaribu kujenga mazingira kwamba ni lazima kambi hiyo iwe ya wote.Kwamba ule uhalali wa CDM kuunda kambi hiyo sasa unakuwa ni lazima na wengine.Mwaka 1995 kuelekea 2000 CUF waliunda kambi ya upinzani bungeni wakishirikiana na UDP waliokuwa na wabunge 4 ili kwa kuwahusisha na wa UDP wafikie asilimia 12.5% kama taratibu zinavyosema.Waliwaacha NNCR nje tena NCCR mageuzi walikuwa na wabunge 28.Ni vizuri CUF wakaelewa kwamba kwa sasa (2005-10) CDM ndio wenye haki ya kuunda kambi ya upinzani bungeni.

Huyu mtu ni mrafi na ana uchu wa madaraka. Ni mwepesi wa kusahau. Tukiachilia mbali mambo mabaya waliyoyafanya cuf miaka hiyo zaidi ya 10, lakini ni hivi majuzi tu kuanzia kipindi cha kampeni cuf walifanya mambo mabaya sana ya kuidhoofisha chadema. Machache ninayoyakumbuka kwa haraka ni haya:

1. Wakishirikiana na ccm na nccr, cuf walipandikiza chuki kwa wananchi dhidi ya chadema kuhusu udini na ukabila.
2. Waliisema vibaya sana chadema
3. Waliipigia kampeni ccm
4. Walitaka wananchi wasiichague chadema
5. Waliwazomea wabunge wa chadema waliposusia hotuba ya mkwere kwenye kikao cha kwanza cha bunge, zaidi ya yote hayo waliwaponda vibaya sana chadema.
6. Wakati wa mdahalo kuhusu kambi ya upinzani, cuf waliendelea na propaganda zao dhidi ya chadema

-Kutokana na hayo yote, mtu unabaki unajiuliza: Huu urafiki unaolazimishwa ghafla unatokea wapi?
-Wakati wanafanya huo uzandiki wao, cuf hawakujua kuwa itatokea siku watahitaji kuungana na cdm?
-Au walidhani wataendelea kuwa wao pekee ndio wenye dhamana ya kujenga kambi ya upinzani.
-Kwa bahati mbaya wanalazimisha sasa kuungana baada ya jaribio lao la kuunda kambi ndogo ya upinzani kukwama.

Mi nasema kama wana nia nzuri na taifa si lazima kuwemo kwenye hiyo kambi. Wao tayari ni wapinzani. Kutoa hoja au kutetea taifa si lazima uwe kwenye kambi. Wakati wanaomba kura hawakuahidi kutekeleza ahadi zao wakiwa kwenye kambi. Sasa huo umuhimu wa kambi unatokea wapi?
 
  • truly african: greedy as always and will allways be! as skewed as rainbow! Jamaa alishasema hawezi kumuachia nguruwe aaribu shamba peke yake! Hii ni hulka ya ulafi
 
Bunge la 2000 hadi 2005 CUF waliwashirikisha Chadema kwenye kambi ya Upinzani! Sasa hapa nani mrafi wa madaraka kama sio Mbowe na Chadema? Maskini akipata makalio hulia Mbwata!
walishirikishaje CHADEMA?
 
Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni ndiye waziri mkuu kivuli, hivyo anapata

  1. Ofisi pale bungeni Dodoma yenye wafanyakazi 4 na ofisi ndogo Dar es Salaam yenye wafanyakazi 2
  2. Nyumba ya serikali pale Dodoma yenye watumishi wawili na ulinzi 24/7
  3. Gari la serikali lenye hadhi, na dereva/bodyguard, mafuta kumwezesha kuzunguka nchi nzima.
  4. Posho kama ya Waziri Mkuu.
  5. Ndiye mtu wa kwanza kuulizwa swali kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa papo.
  6. Kipaumbele kwenye safari za nje
  7. etc etc
Sasa yote haya uyakose!, hata ningekuwa mimi, ningeomba kanuni zibadilishwe na kupata japo nusu ya marupurupu haya!
Thanks Pasco...

Kinachonisikitisha ni jinsi yule mzee anavyoonekana muungwana sana, lakini matendo yake yanatia kichefuchefu kabisa; amekua kigeugeu na kiujumla anaaibisha sana wazanzibari kwa tamaa zilizomzidi... sina hakika kama watu wajimbo lake anawasaidia kwa lolote zaidi ya kufikiria tumbo lake
 
Kuna nafasi bado ya kambi ya upinzani baraza la wawakilishi, mnaweza kujitoa SMZ mkawa wapinzani rasmi.
Ni lazima uchague kuwa baridi au moto, Huwezi kusimama katikati!!!
 
Kuna nafasi bado ya kambi ya upinzani baraza la wawakilishi, mnaweza kujitoa SMZ mkawa wapinzani rasmi.
Ni lazima uchague kuwa baridi au moto, Huwezi kusimama katikati!!!

Nimeipendaaaa!!
 
Bunge la 2000 hadi 2005 CUF waliwashirikisha Chadema kwenye kambi ya Upinzani! Sasa hapa nani mrafi wa madaraka kama sio Mbowe na Chadema? Maskini akipata makalio hulia Mbwata!

Hawakuwashirikisha kwa hiari bali kanuni iliwabana maana walikuwa below 12.5% ya wabunge.

Mbona hayo marupurupu tumeyajua leo wakati kaondoka madarakani???
Ametaka yajulikane leo ili watu wamwone Mbowe mrafi not knowing hatudanganyiki kirahisi.

Hata kama CDM wakikubali kuungana nao basi apewe uwaziri kivuli wa wizara ya michezo na utamaduni.
 
Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni ndiye waziri mkuu kivuli, hivyo anapata
  1. Ofisi pale bungeni Dodoma yenye wafanyakazi 4 na ofisi ndogo Dar es Salaam yenye wafanyakazi 2
  2. Nyumba ya serikali pale Dodoma yenye watumishi wawili na ulinzi 24/7
  3. Gari la serikali lenye hadhi, na dereva/bodyguard, mafuta kumwezesha kuzunguka nchi nzima.
  4. Posho kama ya Waziri Mkuu.
  5. Ndiye mtu wa kwanza kuulizwa swali kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa papo.
  6. Kipaumbele kwenye safari za nje
  7. etc etc
Sasa yote haya uyakose!, hata ningekuwa mimi, ningeomba kanuni zibadilishwe na kupata japo nusu ya marupurupu haya!

Issue kumbe kuna fedha

Mchaga hawezi kukubali hata iweje

Chadema msikubali kabisa fedha hizo bwashee..hakuna kuwapa wapemba bana
 
Issue kumbe kuna fedha

Mchaga hawezi kukubali hata iweje

Chadema msikubali kabisa fedha hizo bwashee..hakuna kuwapa wapemba bana

You are up for something Topical! Aint you?
 
You are up for something Topical! Aint you?

Mkuu kuliko na pesa huwezi kuwachanganya wachaga na wapemba...

Huu muungano kama kuna pesa sahau kabisa..haufai..lazima fitna itakuwepo

mangi na pesa wacha bana
 
Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni ndiye waziri mkuu kivuli, hivyo anapata
  1. Ofisi pale bungeni Dodoma yenye wafanyakazi 4 na ofisi ndogo Dar es Salaam yenye wafanyakazi 2
  2. Nyumba ya serikali pale Dodoma yenye watumishi wawili na ulinzi 24/7
  3. Gari la serikali lenye hadhi, na dereva/bodyguard, mafuta kumwezesha kuzunguka nchi nzima.
  4. Posho kama ya Waziri Mkuu.
  5. Ndiye mtu wa kwanza kuulizwa swali kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa papo.
  6. Kipaumbele kwenye safari za nje
  7. etc etc
Sasa yote haya uyakose!, hata ningekuwa mimi, ningeomba kanuni zibadilishwe na kupata japo nusu ya marupurupu haya!

Duh!

Best kama ni kweli ipo kazi!

Jee yawezekana hii ndiyo sababu iliyomfanya Bwana Mogo Zitto ajaribu kujitutumua kuiomba nafasi hiyo?
 
Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni ndiye waziri mkuu kivuli, hivyo anapata

  1. Ofisi pale bungeni Dodoma yenye wafanyakazi 4 na ofisi ndogo Dar es Salaam yenye wafanyakazi 2
  2. Nyumba ya serikali pale Dodoma yenye watumishi wawili na ulinzi 24/7
  3. Gari la serikali lenye hadhi, na dereva/bodyguard, mafuta kumwezesha kuzunguka nchi nzima.
  4. Posho kama ya Waziri Mkuu.
  5. Ndiye mtu wa kwanza kuulizwa swali kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa papo.
  6. Kipaumbele kwenye safari za nje
  7. etc etc
Sasa yote haya uyakose!, hata ningekuwa mimi, ningeomba kanuni zibadilishwe na kupata japo nusu ya marupurupu haya!
kula kwa zamu, aende kwenye baraza la uwakilishi.
 
Back
Top Bottom