Hamad Rashid alipewa pesa na CCM kuanzishia ADC - Limbu

Kuna siku moja nilimkuta Limbu pale mgahawa wa Falcon akiiponda sana Chadema na kuisifia ccm.
Mhudumu mmoja alikuwa anabishana nae lakini nikaona anashindwa hoja ikabidi niingilie kati mazungumzo na kuzi crush hoja zake zote hadi akaona aibu na kukimbia huku akichekwa na wahudumu wa mgahawa ule.
Juzi juzi nilipokwenda Falcon mhudumu mmoja akaniambia Limbu alikwenda kuwashitaki kwa bosi wao kwamba wamemdhalilisha!
Wacha wale mpunga lakini ukweli ni kwamba ccm wenyewe na hata vibaraka wao wote hawawezi kuivunja ngome yeyote ya Chadema.
 
Alikwambia mlikuwa wapi? Acha kufanya watu kama akili yako isivyofikiri,ni uongo
 
Back
Top Bottom