Halwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Halwa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Speaker, Mar 18, 2011.

 1. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jamani kwenye birthday yangu 14/3/2011 moja kati ya zawadi nilizo pewa ni inaitwa halwa!!!!

  Noamba anaejua inasaidia nini maana huwa naisikia kwa watu wa pwani na sijui ni nani alinipa maana ni zawadi nyingi tu zilikuwa
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  duh!halwa baba.
  Hiyo zawadi alikupa mpemba nini?
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahaha,umejuaje?
  Nahisi ni mpemba maana nina marafiki wengi na wazenji wengi pia
   
 4. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Halwa ni tamu na ina nata nata hivi kama..........
   
 5. J

  Jef Member

  #5
  Mar 18, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Halwa utengenezwa kutokana na mchanganyiko wa unga wa ngano na sukari,watu wa zenji hupenda kuitumia pamoja na kahawa hasa nyakati za jioni!
   
 6. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hebu waite tena woote walioleta zawadi af uliza mmopja baada ya mwingine ukimpata ndo muulize maana yake
   
 7. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #7
  Mar 18, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,119
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  halwa ni tamu sana kama tende tu
   
 8. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Huyo aliyekuzawadia ni mwanamke au mwanamume? Ikiwa ni mwanamke mtupie jicho, unaweza ukala "halwa" yake. Ikiwa ni mwanamume chunga sana. Wazenji kwa tIgO waogope na "halwa" ni ishara moja. Hujawahi kusikia "kijana yule ni halwa?"
   
 9. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mambo ya kipemba hayo
   
 10. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hapo sasa ndo kazi kujua nani kaileta
   
 11. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Na kiafya zinasaidia nini au ndo hivo tu bora umekula
   
 12. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Duh,sura yako tu hapo inaonesha unasikitika sana
  hizo gharama za kuwakusanya za nani?
   
 13. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kama gundi.............
   
 14. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #14
  Mar 18, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Mhhhhhh!
  Humu JF mnajua tafsiri.....japo sijahitaji ntoke nje ya mada.
  Andazi nalo nini maana yake? Na lenyewe ni ishara ya nini?
  Halwa=utam mwingi.
  Hicho ni kiarabu.
  Dessert=utam.
  Kidhungu!
   
Loading...