Haloteli Mkombozi wa Kweli Kwa Watumia Mtandao,Hongereni Sana!!

Haloteli Mkombozi wa Kweli Kwa Watumia Mtandao,Hongereni Sana!!

Nina Halotel lakini kiukweli sijaweza kuitofautisha na tigo wako kawaida sana afu unlimited bando zao hazina speed kabisa!
Labda tatizo liko kwenye eneo unalo ishi. Ukweli Halotel wako v izuri sana.
 
Kwa Style hii Halotel wamekuja kumaliza figisufigisu tulizoteseka nazo kwa muda mrefu kwa huduma duni na zisizo na uhakika ambazo tunekua nazo kwa miaka!

Ki ukweli Data Speed yao ni ya 3g lakini kasi yake ni zaidi hata ya hiyo 4g zao!sijui wakileta 4g itakuaje,Asanteni sana Halotel kututoa hapa tulipo kwama kwa kipindi kirefu ni wazi baada ya miezi 3/4 sijui kama atabaki mtu huku kwa zilipendwa!

Nimependa sana Wifi gadget yenu ya 90 alfu mnayoweza share hadi watu 10 na Speed yake ni hapohapo ukigusa tu!

Hongera sana Halotel Niwahakikishie kwa kwa Kasi Hii Mijini na Vijijini Mtasababisha wengine wote waliotangulia waachane na biashara ya Data,Uwanja ni wenu tutegemee zaidi ya Hapa,Karibuni Halotel mtandao namba moja Nchini kwa Internet Bora na Kiwango
mimi nipo dar nilinunua line ya halotel kwa ajili ya ku download movie na series nikajiunga na zile gb 18 kwa 1,500 za kuanzia saa sita hadi saa 12(masaa 6), ila asubuhi nilipoamka nikakuta ni gb 1.8 tu ndio imeweza ku download, ila nilipojiunga na voda ya 4gb kwa 1,500 hiyohiyo kuanzia saa 5 hadi saa 11(masaa 6)
nilifanikiwa kushusha gb 3.1za series ileile, sasa hapo voda si ndio wapo vizuri?
 
Ni kweli Mkuu unachoongea. Nami nmefanya vivyo hivyo.
Nmefanikiwa ku download 1.2GB. Voda wako vzuri sana.
 
Halotel wapo vizuri sana..internet ya uhakika halafu iko speed ya hatari
 
Wewe utakuwa na masrahi na Halotel kwenye mabando ni wezi wanabadilika kila wiki mimi natumia HALOTEL kuna tofauti kubwa kati ya bando la saa 24 na wiki wasipo badilika mimi nawapiga chini
 
Ni kweli Mkuu unachoongea. Nami nmefanya vivyo hivyo.
Nmefanikiwa ku download 1.2GB. Voda wako vzuri sana.
voda wapo vizuri kuliko hawa halotel kwani hata zile gb 4 za usiku wanazokupa unazitumia kwa usiku mbili (leo na kesho yake) ila halotel gb 18 zao wanakupa usiku 1 tu wa masaa 6, na vifurushi vingine vyote vya halotel havitofautiani na voda kwa kiwango cha data wala gharama
sijaona kipya cha halotel cha kumuhamisha mtu kutoka voda kwa masuala ya internet
 
Ni kweli Mkuu unachoongea. Nami nmefanya vivyo hivyo.
Nmefanikiwa ku download 1.2GB. Voda wako vzuri sana.
Mtakuwa mnatatizo wakati mie nikiunga lazima nishushe Gb 13 nakuendelea vitu vyote vinaisha
 
ndo naingia kidogo watuboreshee na vya mitandao yote kama airtel vile maana huyu halotel ili umfurahie mpaka halotel to halotel akat ndo inakua
 
Mtakuwa mnatatizo wakati mie nikiunga lazima nishushe Gb 13 nakuendelea vitu vyote vinaisha
unaishi wapi?
maana mimi naishi dar halafu naona haizidi voda, na hilo tatizo kwa nini linitokee kwenye halotel?
 
Halotel wako vizuri kwenye speed ya internet yao lkn tatizo ni kwenye vifurushi. Na ukiuliza salio la data zako hawakwambii una MBs ngapi zimebaki bali wanakwambia una kifurushi hadi tarehe fulani saa fulani. Kwa hiyo wanajenga namna ya mteja kuibiwa data
 
Hapana chezeiya Halotel!! Hadi mwanalumango ni 3G Full bata ukigusa tu kitu shyaaa! Teh!
 
Nina Halotel lakini kiukweli sijaweza kuitofautisha na tigo wako kawaida sana afu unlimited bando zao hazina speed kabisa!
Nilifikiri ni Mimi tu peke yangu kumbe tupo wengi
 
Back
Top Bottom