Haloteli Mkombozi wa Kweli Kwa Watumia Mtandao,Hongereni Sana!!

Haloteli Mkombozi wa Kweli Kwa Watumia Mtandao,Hongereni Sana!!

unaishi wapi?
maana mimi naishi dar halafu naona haizidi voda, na hilo tatizo kwa nini linitokee kwenye halotel?
Your avatar could be the reason. Halotel na picha ya huyo jamaa maji na moto, change it and give us a feedback if the problem persists.
 
halotel ni funiko la wote naitumia kupakua series kwa kifurushi cha usiku GB 18 zote nazikata sibakiz kwa wale wapenda movies huku ndio kwenyew
 
hawa jamaa ni watamu sana please IT wa halotel msishushe speed
 
Halotel kwenye data wako poa mbaya speed yao nzuri imenifanya mitandao mingine niikimbie.
 
Ni kitu gani hasa!! Router,Proxy Server nk?
Ni routers
- Specifications
Network: 3G, wifi
Speed: 21.6 Mbps
Up to 10 users
Memory: MicroSD Slot, up to 32GB
Battery: 1500mAh
OLED Screen display, 3 LED light indicators
6b535adcfe324e2c76d9a37c6744235c.jpg

e185360621f70dc78c2c19c2c1debadd.jpg
 
Baada ya Halotel kuona wamekubalika kwa upande wa internet kwa sasa wameongeza bei za bundle zao. Mfano awali ukiwa na Tshs. 9,999/= ulikuwa unapata 3,072 MB, lakini kwa sasa unapata nusu yake yaani 1,536 MB.
 
Halotel ni level zingine,
Achana na hawa matapeli wengine
 
Wapo vizuri kwa sababu watumiaji wake bado ni wachache, subiri wapate wateja wa kutosha ili traffic iongezeke, hutaitofautisha na tigo.
First, bado wanafanya marketing kwa vile ndio wanaanza, second wana wateja wachache. Subiri wawe na idadi ya voda ndio uwapime
No. Wako vizuri. Wanatumia optic fiber teknolojia bora despite of traffic
Kwa Style hii Halotel wamekuja kumaliza figisufigisu tulizoteseka nazo kwa muda mrefu kwa huduma duni na zisizo na uhakika ambazo tunekua nazo kwa miaka!

Ki ukweli Data Speed yao ni ya 3g lakini kasi yake ni zaidi hata ya hiyo 4g zao!sijui wakileta 4g itakuaje,Asanteni sana Halotel kututoa hapa tulipo kwama kwa kipindi kirefu ni wazi baada ya miezi 3/4 sijui kama atabaki mtu huku kwa zilipendwa!

Nimependa sana Wifi gadget yenu ya 90 alfu mnayoweza share hadi watu 10 na Speed yake ni hapohapo ukigusa tu!

Hongera sana Halotel Niwahakikishie kwa kwa Kasi Hii Mijini na Vijijini Mtasababisha wengine wote waliotangulia waachane na biashara ya Data,Uwanja ni wenu tutegemee zaidi ya Hapa,Karibuni Halotel mtandao namba moja Nchini kwa Internet Bora na Kiwango
 
Ulitia maji akisifiwa
Ndio mambo ya mgema hayo...
Sasa jamaa wapo slow kinyama tofauti na walivyoanźa!!!!
Ile kasi haipo tena
 
Back
Top Bottom