Haloteli Mkombozi wa Kweli Kwa Watumia Mtandao,Hongereni Sana!!

Haloteli Mkombozi wa Kweli Kwa Watumia Mtandao,Hongereni Sana!!

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,556
Kwa Style hii Halotel wamekuja kumaliza figisufigisu tulizoteseka nazo kwa muda mrefu kwa huduma duni na zisizo na uhakika ambazo tunekua nazo kwa miaka!

Ki ukweli Data Speed yao ni ya 3g lakini kasi yake ni zaidi hata ya hiyo 4g zao!sijui wakileta 4g itakuaje,Asanteni sana Halotel kututoa hapa tulipo kwama kwa kipindi kirefu ni wazi baada ya miezi 3/4 sijui kama atabaki mtu huku kwa zilipendwa!

Nimependa sana Wifi gadget yenu ya 90 alfu mnayoweza share hadi watu 10 na Speed yake ni hapohapo ukigusa tu!

Hongera sana Halotel Niwahakikishie kwa kwa Kasi Hii Mijini na Vijijini Mtasababisha wengine wote waliotangulia waachane na biashara ya Data,Uwanja ni wenu tutegemee zaidi ya Hapa,Karibuni Halotel mtandao namba moja Nchini kwa Internet Bora na Kiwango
 
Nina Halotel lakini kiukweli sijaweza kuitofautisha na tigo wako kawaida sana afu unlimited bando zao hazina speed kabisa!
 
Mm nipo Pwani- wilaya ya mafia huku hawapo kabisa Halotel naomba mtuletee na cc huku huduma zenu tufaidi.
 
Kiukweli halotel ipo juu sana mi toka ineanza ndo mtandao naotumia mwanzo mwisho na uko vizur sana haikuwahi hata siku moja kunisumbua
Naomba kuelekezwa jinsi ya kuweka settings za halotel, maana Jana nimejiunga na bando la chuo lkn sipati mtandao kabisa.
 
Halotel mkombozi wetu,
Ahsante.
Wengine uharo tu.
 
Ukweli nikwamba kwa speed wanatisha. Kwa Bundle za Usiku Packs wako pouwa sana kuliko hata hao zantel waliokuwa wanakimbiza. Tatizo la halotel nililoliona kwenye vifurushi vya data ni Computer system yao kudata wakati fulani fulani. As in mimi najiunga data ya unlimited wanashindwa kuniletea kwa wakati.. ... Nikiwapigia kwao on their screen inaonyesha nina bundle na mimi huku weshalamba hela... Ila wanakuja niunga usiku saa 5 na bundle ni ya kuanzia mchana. Wakiweza kurekebisha mfumo wao wa GifGaf as in Garbeg in Garbeg Out watakimbiza nchini. Hata hapa nawatumia wao kuwa critique
 
sina uhakika km watakuwa bora hivo milele.nadhani ni kivuta wateja.
 
naomba muniwekee jinsi ya kuunga hizo unlimited bundles na kiasi unacholipia.
 
Back
Top Bottom