Haloteli Mkombozi wa Kweli Kwa Watumia Mtandao,Hongereni Sana!!

Haloteli Mkombozi wa Kweli Kwa Watumia Mtandao,Hongereni Sana!!

Wapo vizuri kwa sababu watumiaji wake bado ni wachache, subiri wapate wateja wa kutosha ili traffic iongezeke, hutaitofautisha na tigo.
First, bado wanafanya marketing kwa vile ndio wanaanza, second wana wateja wachache. Subiri wawe na idadi ya voda ndio uwapime
Ishu kubwa ni infrastructure tu ndo maana walitandaza fiber optical cable nchi nzima sababu kubwa ni kuovercome ishu Kam hizo za traffic na changamoto nyingin
 
Wapo vizuri kwa sababu watumiaji wake bado ni wachache, subiri wapate wateja wa kutosha ili traffic iongezeke, hutaitofautisha na tigo.
First, bado wanafanya marketing kwa vile ndio wanaanza, second wana wateja wachache. Subiri wawe na idadi ya voda ndio uwapime

Unacho ongea ni ukweli mtupu. Wanasifika kwa speed kwa sasa kwa vile wateja kwa sasa ni wachache. Kwa hiyo hamna traffic kwenye fibre internet yao. Nili experience hii kitu wakati smile comm wakianza na 4G yao. Nilikuwa nikipata hadi 48Mbps speed. Lakini baadae wateja walipo ongezeka, speed nayo ikapungua hadi 8 to 12Mbps.

Kwa hiyo hapo, is just a matter of Time hakuna mtu atakaendelea tena kuipa shavu. Kipya kinyemi. Wazung wana Msemo wao "Time will tell"
 
Wifi Gadget ni: Wireless internet Router inayokusaidia wewe mtumiaji wa internet kutopata shida ya ku-connect through wires.
Once you plug it, you can receive internet waives within 100meters. So, you can enjoy internet while sitting at your garden surfing and relaxing.

Kifaa chenyewe ndio hiki hapa. Waweza pia kukipata kwa bei poa ya 70,000/- popote pale uliopo
Kwa kupiga hii namba 0715-240140

Utakuwa na uwezo wa kukonekti vifaa 10 kwa wakati mmoja kama vile laptop/Ipad/printer/SmartTV/smartphone/Game consoles/TV Boxes such as ROKU/IP -Cameras etc etc

View attachment 317992
View attachment 317993
View attachment 317994
Poa mkuu. Je unaweka vocha au ukinunua tu kwa 70000 basi?
 
[QUOTE="Mwana Ilala, post: 15134795, member: 1

Kwa hiyo hapo, is just a matter of Time hakuna mtu atakaendelea tena kuipa shavu. Kipya kinyemi. Wazung wana Msemo wao "Time will tell"[/QUO
Let's enjoy as we wait " The time to Tell" because we don't have an appointment with time to know when it will tell,maybe 3,4,or 5 years from now
 
Halotel wana upuumz mmoja tu, waweza stream kitu, mfano labda mpira... utaangalia labda kwa dakika 40 kwa speed hii ambayo inasifiwa humu, baada ya hapo wanapunguza speed hata ku download kitu cha kb 140 uinaweza tumia hata dakika nzima... hapa ndipo wanapo niuz
 
Halotel Amna kitu uku kijijini.. Kwanza mitambo yao inazima ikinyesha mvua 3G inashika mpaka upande mlimani
 
Mi mwenyewe natumia halotel.wapo vizuri sn,internet yao ipo speed hadi raha aisee haisumbui km mitandao mingine wasiwasi wangu ni kwsmba huenda labda watumiaji wakiongezeka hii spidi itapungua? hiyo ndio hofu yangu
 
Unacho ongea ni ukweli mtupu. Wanasifika kwa speed kwa sasa kwa vile wateja kwa sasa ni wachache. Kwa hiyo hamna traffic kwenye fibre internet yao. Nili experience hii kitu wakati smile comm wakianza na 4G yao. Nilikuwa nikipata hadi 48Mbps speed. Lakini baadae wateja walipo ongezeka, speed nayo ikapungua hadi 8 to 12Mbps.

Kwa hiyo hapo, is just a matter of Time hakuna mtu atakaendelea tena kuipa shavu. Kipya kinyemi. Wazung wana Msemo wao "Time will tell"
Siyo wazungu Waingereza
 
naomba muniwekee jinsi ya kuunga hizo unlimited bundles na kiasi unacholipia.
*148*66# utapewa choice za kutosha. Unliimited MB800 kwa siku kwa 999 Tshs. Na GB18 kuanzia saa 5 hadi 12 asubuhi kwa 1500 shindwa mwenyewe. Vifurushi vya kupiga simu mitandao yote ndo usiseme
 
Naomba kuelekezwa jinsi ya kuweka settings za halotel, maana Jana nimejiunga na bando la chuo lkn sipati mtandao kabisa.

Nenda kwenye mobile network, bonyeza kwenye option ya Access point Names( APN) utakuta uwanja mweupe itabidi ubonyeze button ya kuleta options ns hapo utaletewa maneno kwamba add new APN, Ingia hapo, utawona vioption vingi ila cha kufanya utajaza vipengele vichache, kwenye Name unaweza andika Halotel, kwenye APN andika HAlotel internet, Username andika jina lako, Password andika neno au namba ilimradi zizipungue herufi au namba 6 kama neno andika kwa herufi ndogo. Ukimaliza hapo bonyeza ten button ya option ambapo utaletewa neno save kwa hyo utasave. Vipengele ambavyo sikukwambia uvijaze kama proxy au server na vingine vingi husiangaike navyo. Baada ya kufanya hivyo kama utakuwa umewasha data na 3G utaona vinajileta tu faster.
 
Halotel wana upuumz mmoja tu, waweza stream kitu, mfano labda mpira... utaangalia labda kwa dakika 40 kwa speed hii ambayo inasifiwa humu, baada ya hapo wanapunguza speed hata ku download kitu cha kb 140 uinaweza tumia hata dakika nzima... hapa ndipo wanapo niuz
Kaka speed na muda wa speeed inatokana na kifurushi ulichoweka. Huwezi stream mpira kwa MB200 mpaka ukaisha na kwa speed hiyo hiyo. Hebu jiunge kile kifurushi cha 18gb uone kama hujakesha mpaka asubuhi
 
Bei itawaangusha wasipokuwa makini wanamshindani kwa dar no airtel sijajaribu wakiwa nje ya mijini kasi yao kama inafanana ila kwa dar airtel bei ya data na ubora wapo juu
 
south ntiguu kijijini nyaruguso tunaipata vizuri..3g imesimama kama dushe..le la asubuhi mwnzo mwisho. Ila namashaka ya hii service wataweza kui maintain kweli? ngoja tuwape muda.
 
Kwa Style hii Halotel wamekuja kumaliza figisufigisu tulizoteseka nazo kwa muda mrefu kwa huduma duni na zisizo na uhakika ambazo tunekua nazo kwa miaka!

Ki ukweli Data Speed yao ni ya 3g lakini kasi yake ni zaidi hata ya hiyo 4g zao!sijui wakileta 4g itakuaje,Asanteni sana Halotel kututoa hapa tulipo kwama kwa kipindi kirefu ni wazi baada ya miezi 3/4 sijui kama atabaki mtu huku kwa zilipendwa!

Nimependa sana Wifi gadget yenu ya 90 alfu mnayoweza share hadi watu 10 na Speed yake ni hapohapo ukigusa tu!

Hongera sana Halotel Niwahakikishie kwa kwa Kasi Hii Mijini na Vijijini Mtasababisha wengine wote waliotangulia waachane na biashara ya Data,Uwanja ni wenu tutegemee zaidi ya Hapa,Karibuni Halotel mtandao namba moja Nchini kwa Internet Bora na Kiwango
NAMI HUKU MWANZA NAFURAHIA
 
Huku kwetu hamna kitu, atleast tigo kidogo wanajitahidi.
 
Kwa Style hii Halotel wamekuja kumaliza figisufigisu tulizoteseka nazo kwa muda mrefu kwa huduma duni na zisizo na uhakika ambazo tunekua nazo kwa miaka!

Ki ukweli Data Speed yao ni ya 3g lakini kasi yake ni zaidi hata ya hiyo 4g zao!sijui wakileta 4g itakuaje,Asanteni sana Halotel kututoa hapa tulipo kwama kwa kipindi kirefu ni wazi baada ya miezi 3/4 sijui kama atabaki mtu huku kwa zilipendwa!

Nimependa sana Wifi gadget yenu ya 90 alfu mnayoweza share hadi watu 10 na Speed yake ni hapohapo ukigusa tu!

Hongera sana Halotel Niwahakikishie kwa kwa Kasi Hii Mijini na Vijijini Mtasababisha wengine wote waliotangulia waachane na biashara ya Data,Uwanja ni wenu tutegemee zaidi ya Hapa,Karibuni Halotel mtandao namba moja Nchini kwa Internet Bora na Kiwango

Mkuu ungetusaidia kutufahamisha na vifurushi vyao ambavyo wewe umevikubali sana nasisi tuvijaribu..ingesaidia pia
 
Back
Top Bottom