Halotel waja kivingine

 
Nilisema kabla kwamba hicho kifurushi wamekiwekea limitation Kuna Vichwa humu vilikuwa vinabisha.
Unlimited ya kweli ilikuwa Enzi zile za CProxy, PDproxy, pdvpn,NMD VPN na Tunel Guru.
Muda wote unaterezesha tu hadi TB inajaa
Pengine wanataka na mambo mengine ufanye.
 
Hamna mkuu TTCL zile 3.5 zinaanzia saa 2 usiku so nikianza kushusha vitu kwa mwendo wa 4G hata saa 3 usiku haifiki.
 
Hata ttcl nao wanalimitations kwenye Kifurushi flani Unapewa GB 4 ila GB 3 unatumia usiku tuu
Lakini ni kuanzia saa 2 boss na kama 4G inakamata vizuri maeneo yenu wala haichukui Muda kitu kina kuwa chali!!
Hapo utalinganishaje na 500 mb yaani hata movie ya HD hupakui
 
Mkuu wengi tunafanya hivi unaandaa kabida list yako ya files unazo taka ku download hiyo siku then unaziachia.
Una rudi kuhudumia ndoa 12 Asubuhi unahakiki tu umekamua Gb ngapi?
Ila ruksa kukesha pia.
Hiyo ni kwaajili ya kile cha usiku 10GB kuanzia saa 6 siyo bandika bandua ya 4GB maana nazimalizaga mapema kabla ya mda wa shangazi haujafika
 
Niliwahi kuwajaribu lakini speed ya internet ikiwa ndogo mno kiasi kwamba niliichukulia kama kiro.
Sasa sijajua kama ni eneo nililokua au ni mtandao wenyewe.
.
Na vipi kuhusu line kusajili si ni mpaka upeleke dole gumba ofisini kwao?
 
Kuna cha 10Gb, na cha unlimited
Cha unlimited pitia kwenye
Ofa maalum. Baada ya kupiga *148*66#

Kiliwekwa l think tangu Ramadhani ya 2018.
Hao ni Halotel boss nilishaachana nao maana kiaanza saa 5 au 6 Afu speed sio kabisa huku kwetu mbaya zaidi kina disconnect ovyo wakati siruhusiwi gusa laptop baada ya saa 4 usiku
 
Kuna cha 10Gb, na cha unlimited
Cha unlimited pitia kwenye
Ofa maalum. Baada ya kupiga *148*66#

Kiliwekwa l think tangu Ramadhani ya 2018.
hichi cha toka ramadhani sikijui ajabu kila siku niko kwa menyu ya *148*55# hope ntakifuatilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…