Halotel waja kivingine

Mwenye anauza modem ya halotel aniuzie nahitaji offer yangu 10k. Njoo na yako pm iwe dar au mwanza.
 
Hivi ile 4g coming soon ambao vijana wa Halotel walikuwa wanavaa kwenye T sheti, imefia wapi?
Ndio hiyo niliyokuwa nazungumzia mkuu!!!
Inaonekana Kuna tozo fulani wakati wa kuingiza mitambo mipya zilikuwa hazitiliwi mkazo wakati wa JK ila sasa wamezikazia pale Magogoni so wanashidwa maana walitaka kuingiza kinyemela tu hawa Halotel na Airtel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…