Halotel ndio unaweza ukawa mtandao mbovu zaidi duniani

Halotel ndio unaweza ukawa mtandao mbovu zaidi duniani

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
6,447
Reaction score
11,505
Kila siku halopesa inasumbua yani imeshakua kawaida, halafu nao wamekua na tabia kama ya mbogamboga ya kuwalipa machawa wawasifie kwenye comment!

Naona leo mambo yamekua magumu machawa nao wamezidiwa nguvu wameona wafunge comment kabisa
Screenshot_20260126_233001_Instagram.jpg

TCRA wanaruhusuje watu kama hawa kutoa huduma kwa Watanzania.

Ndio mana Kenya wanaruhusu mitandao mikubwa inayojitambua tuu huwezi kukuta mitandao ya janja janja kama hii.
 
Ungekua ni wewe umeshindwa kumpa mchumba 50000 aliyoomba usingezima simu?
Tuongee tu uhalisia sometimes lawama nazo twende mbele turudi nyuma chukua nafasi ya Halotel ndio uwe wewe ungejibu?
😅😅
 
Huu ndo mtandao bora kwa sasa Tanzania

Umelipwa kuja kuwachafua au sio?
 
Lazima uwapende, maana wewe umezaliwa ili kupenda vimeo, hua nakuona sana hapa jf wewe na vibudu damdam
Eleza jana Halotel imesumbua nini? au ndo mkilipwa kuchafua Brand za watu hamfikiriqgi mara mbili mnafanya tu
 
Eleza jana Halotel imesumbua nini? au ndo mkilipwa kuchafua Brand za watu hamfikiriqgi mara mbili mnafanya tu
Zee la vibudu, wewe halotel hautumii tunaotumia tunajua, wewe si unatumia TTCL
 
Kila siku halopesa inasumbua yani imeshakua kawaida, halafu nao wamekua na tabia kama ya mbogamboga ya kuwalipa machawa wawasifie kwenye comment!

Naona leo mambo yamekua magumu machawa nao wamezidiwa nguvu wameona wafunge comment kabisa
View attachment 3534934

TCRA wanaruhusuje watu kama hawa kutoa huduma kwa Watanzania.

Ndio mana Kenya wanaruhusu mitandao mikubwa inayojitambua tuu huwezi kukuta mitandao ya janja janja kama hii.
Sheria mbovu za uwekezaji ndiyo chanzo ....wawekezaji kama wa makampuni ya simu kwa sasa wana amisha fedha wanazo chuma na kuzipeleka nje ya nchi makwao ...sheria ya uwekezaji ilitakiwa kuruhusu makampuni ya kigeni yanayo wekeza nchini . Waruhusuwe kutoa fedha nje ya nchi kwa asilimia 250 tu ya kodi waliyo lipa serikalini...pesa nyingine yote waiwekeze nchini ?
 
Back
Top Bottom