Halotel Mwanza acheni lugha chafu

Halotel Mwanza acheni lugha chafu

Kama kuna ukweli hapa. Nimewahi tembelea maduka yao mawili, moja iko Tabata Magengeni na nyingine ipo Morroco jengo lililoko hospitali ya macho ya eye centre. Kote nilikutana na huduma mbovu ya kiwango cha juu.
pale Victoria ndio ipo hospital ya macho.
Niliwekwa masaa 3 pale kusubiri kuhudumiwa
 
Naomba nimtetee huyo binti! Jamani pale wapo wahudumu wawili tu, yeye na kaka mmoja na kwa MWanza nadhani Halotel hawana ofisi nyingine zaidi ya hii aliyotaja mleta mada. Nimewahi kufika pale kama mara mbili hivi kuna idadi kubwa sana ya wateja hadi inabidi upange foleni, huu mchezo wa "punda afe mzigo ufike" itawaumiza wengi! makampuni na hata serikali hawataki kuajili watu mradi wapate faida zaidi.
 
Ni

Kweli wateja ni wengi sikatai vp kuhusu kauli na na kuhusu kuchezea sim au karata kwenye computer wakati watu wanangoja huduma?
 
Nilishaongea nao mara mbili kwa simu,customer care yao mbovu kupata kutokea....mbaya zaidi sijui wana wafanyakazi wengi wa kike manake mara zote mbili walipokea jinsia ya kike
Siji kutumia tena halotel

No offense,lakini 75% ya sehemu yenye mwanamke lazima kuwe na tatizo
Actually wanawake wote ni
 
Habari wadau
Naomba nijikite kwenye mada husika
Siku chache zilizo pita nilipatwa na bahati mbaya line yangu ya Halotel ikaharibika hivyo nikachukua hatua za kuli-New
Nilifata utaratibu wote ikiwa ni pamoja na kuripoti police .

Cha ajabu ni kwMba pale ofisi ya Halotel-Mwanza ambayo iko pale karibu na round About ya Samaki nilipo ingia nilikuta wafanyakazi wawili kilicho nishangaza nikuona binti anae hudumia (jina kapuni)anafokea wateja km vile ni watoto wake.

Huyu binti ni mdogo mdogo kiumbo anatumia sim aina ya Samsung J 7 km sikosei.

Tunaomba ajirekebishe,Atumie lugha nzuri kw wateja .

Lakini pia waijulishe jamii kua Halotel hawatoi wala hawana huduma ya kuli New line sio kusumbua wateja.
Wewe ni mtanzania mwenzetu kweli? maana watanzania tunatambuana kwa mophology lakini zaidi ni Lugha na matamshi sina ugonvi ulipochanganya neno la kizungu na lidhaniwalo kuwa la kiswahili lakini hasa hasa na matumizi sahihi ya herufi "L" na " R"
 
Mimi nimepiga customer cate jana usiku...dah! Dada anajibu nyodo hatare...nkakata ikaja sms yao naonaje huduma nikajibu mbaya
 
Pole ila simply hujasaidia sana, si una uhakika hatimizi wajibu ungetaja jina lake ..haya ya kuficha ficha ndio yametufikisha hapa tulipo.

Kama mkuu wa nchi anaweza kutaja JINA la mtumishi asiyewajibika live, huyo unamsitiri nini?

Sema customer care zina baadhi ya watu ambao either hawana sifa stahiki au wana sifa lakini wanafanya mambo kwa mazoea bila kujua wanaharibia wenye ofisi zao.
 
Naomba nimtetee huyo binti! Jamani pale wapo wahudumu wawili tu, yeye na kaka mmoja na kwa MWanza nadhani Halotel hawana ofisi nyingine zaidi ya hii aliyotaja mleta mada. Nimewahi kufika pale kama mara mbili hivi kuna idadi kubwa sana ya wateja hadi inabidi upange foleni, huu mchezo wa "punda afe mzigo ufike" itawaumiza wengi! makampuni na hata serikali hawataki kuajili watu mradi wapate faida zaidi.
Working under high pressure with mini supervision to meet tight deadlines and target..kama mtu hawezi hilo kufanya kazi kwenye kampuni za watu utaona kero.

Ukumbuke muajiri ana minimize operational cost ili apatae faida.
 
Siyo kufokea tu, hata huduma kwa wateja hawajali. Mfano, kwenye huu usajili, juzi tarehe 24/12/2019 kwenye saa saba mchana pale Rock City Mall ghorofa 2, ofc zao zilikuwa zimefungwa, lkn wenzao Voda na Tigo walikuwa wanapiga kazi kama kawaida. Sijui hawana wateja kanda hii, au ni customer care hawajui ama ni nini
Huwa ana tabia ya kuchat tu, hata hakuangalii usoni. Nadhani atakuwa mchepuko wa boss. Ukitaka kujua watu wapo serious nenda PPF Vodacom office au Airtel.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kufokea tu, hata huduma kwa wateja hawajali. Mfano, kwenye huu usajili, juzi tarehe 24/12/2019 kwenye saa saba mchana pale Rock City Mall ghorofa 2, ofc zao zilikuwa zimefungwa, lkn wenzao Voda na Tigo walikuwa wanapiga kazi kama kawaida. Sijui hawana wateja kanda hii, au ni customer care hawajui ama ni nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani na mm huwa nakuta closed...najiulizaga lakn sipati jibu
 
Naomba nimtetee huyo binti! Jamani pale wapo wahudumu wawili tu, yeye na kaka mmoja na kwa MWanza nadhani Halotel hawana ofisi nyingine zaidi ya hii aliyotaja mleta mada. Nimewahi kufika pale kama mara mbili hivi kuna idadi kubwa sana ya wateja hadi inabidi upange foleni, huu mchezo wa "punda afe mzigo ufike" itawaumiza wengi! makampuni na hata serikali hawataki kuajili watu mradi wapate faida zaidi.
Halotel wana main branch Isamilo... kale ni katawi tu... Hiyo ofisi kuu imepakwa rangi yao pote na bango lao lipo kwa juu... Ipo next to maji house.
 
Mimi nimewahi kuingia mara kadhaa humo,lakini mara zote sijawahi kuhudumiwa naye, yule bro yupo vizuri sana,mara ya mwisho nilikuwa nasajili laini ya 4G,alinielewesha vizuri bila kiburi.Mimi wa hudumu wa aina hiyo huwa tunamalizana hapo hapo,akitaka anihudumie akitaka aache nihamie kwa mhudumu mwingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom