Halotel Mwanza acheni lugha chafu

Halotel Mwanza acheni lugha chafu

MfalmewaKiha

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
1,191
Reaction score
1,244
Habari wadau
Naomba nijikite kwenye mada husika
Siku chache zilizo pita nilipatwa na bahati mbaya line yangu ya Halotel ikaharibika hivyo nikachukua hatua za kuli-New
Nilifata utaratibu wote ikiwa ni pamoja na kuripoti police .

Cha ajabu ni kwMba pale ofisi ya Halotel-Mwanza ambayo iko pale karibu na round About ya Samaki nilipo ingia nilikuta wafanyakazi wawili kilicho nishangaza nikuona binti anae hudumia (jina kapuni)anafokea wateja km vile ni watoto wake.

Huyu binti ni mdogo mdogo kiumbo anatumia sim aina ya Samsung J 7 km sikosei.

Tunaomba ajirekebishe,Atumie lugha nzuri kw wateja .

Lakini pia waijulishe jamii kua Halotel hawatoi wala hawana huduma ya kuli New line sio kusumbua wateja.
 
Huwa ana tabia ya kuchat tu, hata hakuangalii usoni. Nadhani atakuwa mchepuko wa boss. Ukitaka kujua watu wapo serious nenda PPF Vodacom office au Airtel.
Habari wadau
Naomba nijikite kwenye mada husika
Siku chache zilizo pita nilipatwa na bahati mbaya line yangu ya Halotel ikaharibika hivyo nikachukua hatua za kuli-New
Nilifata utaratibu wote ikiwa ni pamoja na kuripoti police .

Cha ajabu ni kwMba pale ofisi ya Halotel-Mwanza ambayo iko pale karibu na round About ya Samaki nilipo ingia nilikuta wafanyakazi wawili kilicho nishangaza nikuona binti anae hudumia (jina kapuni)anafokea wateja km vile ni watoto wake.

Huyu binti ni mdogo mdogo kiumbo anatumia sim aina ya Samsung J 7 km sikosei.

Tunaomba ajirekebishe,Atumie lugha nzuri kw wateja .

Lakini pia waijulishe jamii kua Halotel hawatoi wala hawana huduma ya kuli New line sio kusumbua wateja.
 
Halotel wahudumu wao wengi hawana customer care.Hii kampuni kiongozi ni mbongo?
Maana watanzania wengi ndo zetu ukiwa kiongozi una tembea na watoto wote wa kike wazuri kwenye kampuni,matokeo yake ndo haya.
 
Kama kuna ukweli hapa. Nimewahi tembelea maduka yao mawili, moja iko Tabata Magengeni na nyingine ipo Morroco jengo lililoko hospitali ya macho ya eye centre. Kote nilikutana na huduma mbovu ya kiwango cha juu.
 
Nilishaongea nao mara mbili kwa simu,customer care yao mbovu kupata kutokea....mbaya zaidi sijui wana wafanyakazi wengi wa kike manake mara zote mbili walipokea jinsia ya kike
Siji kutumia tena halotel

No offense,lakini 75% ya sehemu yenye mwanamke lazima kuwe na tatizo
 
Sifahamu hawa halotel wanawatoa wapi hawa wafanyakazi. Shida ipo hata kwa wafanyakazi wao wa kiume!
 
Habari wadau
Naomba nijikite kwenye mada husika
Siku chache zilizo pita nilipatwa na bahati mbaya line yangu ya Halotel ikaharibika hivyo nikachukua hatua za kuli-New
Nilifata utaratibu wote ikiwa ni pamoja na kuripoti police .

Cha ajabu ni kwMba pale ofisi ya Halotel-Mwanza ambayo iko pale karibu na round About ya Samaki nilipo ingia nilikuta wafanyakazi wawili kilicho nishangaza nikuona binti anae hudumia (jina kapuni)anafokea wateja km vile ni watoto wake.

Huyu binti ni mdogo mdogo kiumbo anatumia sim aina ya Samsung J 7 km sikosei.

Tunaomba ajirekebishe,Atumie lugha nzuri kw wateja .

Lakini pia waijulishe jamii kua Halotel hawatoi wala hawana huduma ya kuli New line sio kusumbua wateja.
Kipindi nipo Mwanza, nilienda hapo Halotel ila kwa kweli kama ni yule binti mweupe, ambaye ana kama dred hivi, huyo ni kimeo. Hajali kabisa wateja. Ni kama unamsumbua wakati yupo pale kuhudumia wateja. Na angekuwa mzuri sijui ingekuwaje. Weupe wenyewe wa kujiflash.

Kama ni mke wa boss, basi ahamishwe kwa kweli. Yupo binti mmoja mweusi na brother ambao huwa wanahudumia kwa upendo mkuu.
 
Uliyo yasema yote ni kweli mkuu,yani hako ka dada basi tu ila yule bro mwwusi hana shida juzi nimeingia pale kwa mara ya 3 safari ya mwisho nilikuta anacheza karata kwenye desk top wakati watu tupo kwwnye foleni kiukweli niliumia sana.
 
Sio hivyo mkuu,yani huyo binti anajiaikia sana,Yani anakuhudumia kama vile amelazimishwa
Inawezekana wewe ndiyo tatizo,
Hapa badala utaje jina lake, unatuambia eti "jina kapuni"
Ukute hata ulipofika pale akakuambia
"samahani kaka, nitajie namba yako iliyopotea"
Bila shaka ulimjibu "namba kapuni"
Kwa hali kama hiyo unatarajia nini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom