kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,526
- 8,033
Hawa nao covarage mbovuRudi nyumbani kumenoga ........ TTCL all the way
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Hawa nao covarage mbovuRudi nyumbani kumenoga ........ TTCL all the way
Hivi unaweza kuzungumzia mtandao wa tigo mbele ya halotel!!?? Mtandao wa tigo ndo mbovu kati ya mitandao yote hapa nchini ukifuatiwa na airtel.Nawapenda sana katika dakika za maongezi na sms mtandao wenu upo vizuri .ila katika internet mupo very poor, yaani pooor .you tube uko ndo kabisa ina load tu .angalau tigo na voda wapo vzr
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa bundle lipi?Rudi nyumbani kumenoga ........ TTCL all the way
Ambalo lipo ndani ya uwezo wako.kwa bundle lipi?
Inategemea na eneo naona ipo sawa tu.Nawapenda sana katika dakika za maongezi na sms mtandao wenu upo vizuri .ila katika internet mupo very poor, yaani pooor .you tube uko ndo kabisa ina load tu .angalau tigo na voda wapo vzr
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha royal bando ipo juu ndo nimeanza kuitumiaMzee hakuna mtandao ambao kila sehem upo fresh,,japo tigo wamezidi
Chakufanya tumia mtandao ambao unakupa kasi kweny eneo lako
Hiyo halotel unayodiss ,kwangu ndo naitumia kushusha heavy files na offa yao ile ya unlimited,
Speed yake hata voda haifati kwa hapa nilipo..
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Ramadhan offa mkuu
Nahunga mkono hoja kwa eneo nilipo tigo ni balahaaaukitumia tigo 4G utasahau yote hayo
Sent usingJamii Forums mobile app