Halotel mna boa knoma na limtandao lenu

Halotel mna boa knoma na limtandao lenu

TESRA

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2017
Posts
421
Reaction score
422
Nawapenda sana katika dakika za maongezi na sms mtandao wenu upo vizuri .ila katika internet mupo very poor, yaani pooor .you tube uko ndo kabisa ina load tu .angalau tigo na voda wapo vzr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana kuna voda na tigo... Tia kwenye droo
 
Inategemeana na mahali ulipo mzee,mimi bado i prefer Halotel than Tigo and Voda kwa masuala ya internet,...mi napokaa hii kitu voda au tigo inajivuta sana,....halotel wana product mix nzuri,sema inabidi waongeze dk za kwenda mitandao yote wanabana sana... I don't know maybe ndio marketing strategy yao,....waongeze ma dk na internet speed iongezwe maana wajue competition kwa sasa ni kubwa,wamejitahidi though wapo bado chini kwenye market share halote(9%),voda(32%),tigo(27%), Airtel (25%)....so wao inabidi waje na unique product mix na strategy nzuri...sasa wakianza kujifananisha na voda au tigo tutawakimbia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee hakuna mtandao ambao kila sehem upo fresh,,japo tigo wamezidi

Chakufanya tumia mtandao ambao unakupa kasi kweny eneo lako

Hiyo halotel unayodiss ,kwangu ndo naitumia kushusha heavy files na offa yao ile ya unlimited,

Speed yake hata voda haifati kwa hapa nilipo..

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
unlimited ipi unayotumia boss?
 
ukitumia tigo 4G utasahau yote hayo

Sent usingJamii Forums mobile app
Location ndio kila kitu,4g ya tigo pale fery kipind nipo kigamboni ni pasua kichwa...4g ilikua na 3g tena 3g kobe

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Voda sitaki hata kuwasikia. Line nilishaitupa. Kila siku niliona wanaongeza gharama za kifurushi cha Dar Un.

Nikaikumbatia halotel na zantel.
Full burdani
 
Nawapenda sana katika dakika za maongezi na sms mtandao wenu upo vizuri .ila katika internet mupo very poor, yaani pooor .you tube uko ndo kabisa ina load tu .angalau tigo na voda wapo vzr

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na mahali ulipo, binafsi mahali nilipo natumia internet ninavyotaka kupitia halotel na sijapata shida yoyote ila tigo inasumbua balaa but sijaona sababu ya kuilaumu tigo kwasababu naamini kuna mahali pengine ukifika utakuta inapiga kazi vizuri kuliko hiyo halotel! Kwahyo ni coverage tu ya network
 
hakuna mtandao uliokamilika kila idara..
kila mtandao una shida yake kulingana na eneo ulipo
 
Back
Top Bottom