Gulio Blog
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,056
- 4,124
kwanza nikiri mpaka sasa mtandao unaongoza kwa ya internet ni halotel lakini mnaanza kulewa sifa kwa wanaotumia line ya chuo utaona kifurushi cha sh500 kimeanza kupunguzwa mb badala ya 500mb sasa ni 450mb licha ya hivyo mb zimeanza kuisha fasta
lekebisheni hili
lekebisheni hili