Halotel mbona siwaelewi?

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
10,533
Reaction score
20,966
Hvi inakuaje bando zinaisha ghafla hivi?

Gb kumi natumia jf, fb, insta, na YouTube pekee. Movie sidownload hakuna consumption kubwa na nimewasha data saver alaf GB kumi hazimalizi siku mbili kweli...

Jaman wadau na nyie mnaliona hilo?
 
Hvi inakuaje bando zinaisha ghafla hivi?

Gb kumi natumia jf, fb, insta, na YouTube pekee. Movie sidownload hakuna consumption kubwa na nimewasha data saver alaf GB kumi hazimalizi siku mbili kweli...

Jaman wadau na nyie mnaliona hilo?
Tutanyonywa sana huo ni ukoloniambo leo umeletwa kwa mtindo wa utandawazi.wakubwa wanashirikiana na mabeberu kuwadhoofisha wananchi kiuchumi ili waendelee kutunyonya.
 
Nchi hii wateja tunateseka basi tu ni kama hatuna serikali (TCRA)

Ki router changu cha mkononi natumia mtandao wa haloteli, nilikinunua kwaajili ya kusafiri nacho kipotable. This one time nimeenda field for 18 days, kumbe kanda husika kulikuwa na maintainance ya nini sijui kwenye minara yao, watumiaji hatujupata internet for almost 6 days, Kwa siku zote 6 nililazimika kununua data kwa line nayotumia kwenye simu, Almost 35k hatukupewa taarifa, no apology, no compensation . Imetoka imetoka!
 
I'm short halotel wanazingua, siku hizi... Kwenye bundle hata unajiuliza nilikuwa na Gb 10 nimetumia kwa masaa 6 na hapo ni light consumption, natumia light apps labda Instagram lakini reels kweli za kunyonya almost 6 Gbs kwa muda huo kweli?
Pole ila ndo hivyo ni kuwahama tu
 
Nasikia kwenye masuala ya internet ndio wanashika mkia 😂 kwahiyo sisi ndio tumejichanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…