Ubovu simu yako,,,mi nmedowloud series nzima toka SAA moja kasoro sasa hivi namalizia episode ya 22,,,,aaaagh hatel bhana sio mchexWanakera sana kinasoma H+ lakini kinazingua kudownload video yenye MB 3.1
Jam ipungueHili linaweza kuwa kweli kabisa,
Sjajua labda watumiaji wamekuwa wengi,manaake kipindi cha nyuma ilikuwa vizuri mno,saizi ni taabu kasi imekuwa ndogo sana! Nimewavumilia kwa mda sana hawa halotel.
Sasa itabidi nirudishe Majeshi nyuma-Vodacom.
Mb zao zinaisha haraka sana kweli bongo nisheeda!!
Sio kwel,nakuhakikishia sio kwelHa! Kumbe nilidhani ni mimi tu, siku za karibuni ile bando ya chuo ya wiki mb 600 imekuwa km mb 10 yaani unachat whatsapp, facebook hata siku 2 haifiki eti unatumiwa ujumbe hauna mb, ukiuliza salio unaambiwa mb 0. Hivi TCRA hamna kitengo cha kuchunguza haya mavitu km hawana watu basi waajiri wataalamu hii ni zaidi ya fraud!
Mkuu, zama hizi modem ya kazi gani tena, wakati ukiwa na Smartphone full Wi-Fi tu ?Mh! Mi nina muda natumia Halotel na haijaniangusha hata kidogo. Iko kwenye simu na kwenye modem. Kote inapiga vizuri
Mkuu desktop bado zipo so modem inasongesha kama kawaidaMkuu, zama hizi modem ya kazi gani tena, wakati ukiwa na Smartphone full Wi-Fi tu ?