Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Hawa wakurugenzi wanachama wa ccm wamegeuza halmashauri kuwa familia zao
ATM card ina namba ambazo mtaalamu asiyemuaminifu akizifahamu tu pesa yako ni rahisi kuibiwa, ATM card ni mali ya mtu Binafsi sio ya umma.
Kwanini baadhi ya halmashauri zinaendesha zoezi hili? Haya Mambo yanaanzaga hivihivi mwishowe yanakuwa kwa watumishi wote, lengo lake ni nini?View attachment 1101141
MKUU ACHILIA MBALI KADI YA BANK ATA MWENYE KADI YA BANK PIA NI MALI YA SERIKALI, MPAKA PALE TUTAKAPOPATA UHURU
Nadhani mkuu, hili ndio lengoLengo lao wajue account yako Ina shilingi ngapi walambeKama beure de change