Halmashauri ya Jiji la Arusha Chini ya CHADEMA Yafanya Kweli

Halmashauri ya Jiji la Arusha Chini ya CHADEMA Yafanya Kweli

Nilikua huko Arusha Juzi Mkuu kweli kunamabadiliko sana ccm walikua wanafisadi sana hilo jiji
Hakuna jipya hapo,mnajifariji tu,kuna mipango iliyoachwa ambayo inatekelezwa sasa na pia source ya pesa ni road fund[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Moshi ndio usiseme...chadema vema...lami mpaka zinawekwa juu ya lami.....
 
Hongereni! Ila mko na tatizo kidogo Kajiji kamoja tu tena Km 1.5 mnaanza kujisifia kwa mbwembwe.

Na hapo huwezi kumpongeza JPM aliyetandaza lami kuunganisha nchi. Si bure kuwa mwanasiasa lazima uishi kama chizi fulani
Shirikisha ubongo vizuri, walikuwepo ccm hawakufanya kazi zaidi ya ufisadi, sasa chadema wamefanya makubwa ktk kipindi kifupi hili ndilo tunalolijadili hapa, ukileta mfano wa Magufli kujenga lami nchi nzima wakati pesa ALIKUWA ANAPEWA/ANATENGEWA NA SERIKALI unakosea chadema Arusha wanajenga lami kwa KUKUSANYA PESA KWA NGUVU ZAO/KUSIMAMIA MAPATO YA JIJI VYEMA NA KUZITUMIA KWA MANUFAA YA WOTE.
 
Umeshaambiwa chadema hawakurupuki

Swala hapa sio kukurupuka. Swala hapa ni kwamba barabara ndogo kama hii haipaswi kuchukua muda mrefu kiasi hiki kwa ujenzi wake. Ungeniambia wiki 7 ningeelewa, lakini miezi saba kwa 1.6 km, kwa kweli hii si sawa. Mtawatesa bure wananchi bure pasipo sababu za msingi. Kama hamna fedha na hamjajipanga kujenga hii barabara, basi rudini mkajipange na mrudi tena mkishakuwa tayari kuijenga.
 
...ingelikuwa wale, zingeligharimu billion 7 on disposable quality!
 
Back
Top Bottom