Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Halmashauri ya Jiji la Arusha imeanza ujenzi wa barabara zake kwa kiwango cha Lami nzito utakaogharimu zaidi ya Sh milioni 900. Barabara zilizopo kwenye mpango huu ni zile za Kaloleni zitakazojengwa kwa Urefu wa Mita 650 na Kata ya Themi - Barabara ya Serengeti kwa urefu wa Mita 700. Kazi zimekwishaanza na zitakamilika baada ya miezi Saba.
Chanzo cha Fedha ni Mfuko wa Barabara
Tunawaomba radhi wananchi wetu wa mitaa hiyo kwa usumbufu watakaoupata na pia tuwatakekutumia barabara nyingine mpaka pale Ujenzi utakapokamilika.
Chanzo cha Fedha ni Mfuko wa Barabara
Tunawaomba radhi wananchi wetu wa mitaa hiyo kwa usumbufu watakaoupata na pia tuwatakekutumia barabara nyingine mpaka pale Ujenzi utakapokamilika.