Halmashauri ya Jiji la Arusha Chini ya CHADEMA Yafanya Kweli

Usiwe mjinga wewe kwa kutaka kuleta hadithi ya kilo 1 ya mawe ni nzito kuliko kilo 1 ya pamba,hata iwe barabara gani urefu wa mita ni ule ule;mnajisifia ujinga hapa
Mimi siwezi kumwelimisha punguani kama wewe madiwani wa CCM wameongoza halmashauri miaka zaidi ya 15 mbona walishindwa kutengeneza hiyo barabara?
 
Mi nikajua ni Barbara ya olasiti,kwanza hakuna barabara ya maana ....ukiondoa ya kwenda Nairobi.USA.kwa moromboo na kisongo
 
Yani Arusha raha sana, chadema ni zaidi ya maendeleo walikuja na mabomu yao kukatisha watu tamaa lakini hawakufanikiwa, sasa mapato yanayopatikana ndio yanawaumbua mafisadi wa ccm, pesa yote inayoleta maendeleo ni pesa ya mapato ya ndani, mkuu umesahau na barabara ya uswahilini mpaka dampo nayo inapigwa lami na ujenzi unaendelea kwa kasi, kina Musa mkanga wamebakia kumualika Gambo kwenye majungu tu, lakini hana pa kutokea. Viva chadema.
 
Mi nikajua ni Barbara ya olasiti,kwanza hakuna barabara ya maana ....ukiondoa ya kwenda Nairobi.USA.kwa moromboo na kisongo
Hiyo ya olasiti nayo kabla ya miaka 5 kwisha itajengwa tu. Tunaanza na barabara za zamani halafu tunakuja hizi za mitaa mipya kujengwa maana zamani olasiti ilikuwa shamba tu na sehemu ya mifugo, kwa kuwa sasa ni makazi ya watu lazima maendeleo yatakuja. Kuwa mpole.
 
Hili suala la kawaida mnapiga kelele. Kweli masikini akipata matako hulia mbwata.. hivi mngefanya kazi anazofanya mh raisi dr. Magufuli ingekuje?? Fanyeni kazi ndio wajibu wenu. Mpo madarakani kuleta maendeleo ya watz wote bila ya kujali chama, dini.
 
Ccm walishikilia udiwani Arusha Miaka yote walibakia kuuza open space na ufisadi mkubwa sana
 
Sawa. Pigeni kaziiiii. Ongezeni juhudi maana hayo maendeleo yatanufaisha wote wa CCM na wengine pia.
 
Halmashauri ya Jiji la Arusha imeanza ujenzi wa barabara zake kwa kiwango cha Lami nzito utakaogharimu zaidi ya Sh milioni 900. Barabara zilizopo kwenye mpango huu ni zile za Kaloleni zitakazojengwa kwa Urefu wa Mita 650 na Kata ya Themi - Barabara ya Serengeti kwa urefu wa Mita 700. Kazi zimekwishaanza na zitakamilika baada ya miezi Saba.
Chanzo cha Fedha ni Mfuko wa Barabara

Tunawaomba radhi wananchi wetu wa mitaa hiyo kwa usumbufu watakaoupata na pia tuwatakekutumia barabara nyingine mpaka pale Ujenzi utakapokamilika.
Kumbuka ilikuwa kazi kubwa kulifanya jiji. Na kumbuka mnatumia master plan iliyopo ambayo CCM walitengeneza. Na hata hizo Road fund mnazotumia kujenga mwasisi ni Jpm wa CCM.

Kwa wajinga watajitutumua kuona mnafanya kitu tofauti sana mnaendeleza pale walipoishia CCM.

Yote heri fanyeni kwa bidiii ili mpate na majiji mengine ambayo yanaendelea kukuzwa na CCM.

KAZI NI KUZAA KULEA HATA MWANAUME ANAWEZA KULEA.
 
Pole sana maana unataka kudanganya watu mlivyokua ccm mbona mlishindwa shirikisha ubongo
 
Mimi siwezi kumwelimisha punguani kama wewe madiwani wa CCM wameongoza halmashauri miaka zaidi ya 15 mbona walishindwa kutengeneza hiyo barabara?
Hongereni! Ila mko na tatizo kidogo Kajiji kamoja tu tena Km 1.5 mnaanza kujisifia kwa mbwembwe.

Na hapo huwezi kumpongeza JPM aliyetandaza lami kuunganisha nchi. Si bure kuwa mwanasiasa lazima uishi kama chizi fulani
 
Halmashauri ya Jiji la Arusha imeanza ujenzi wa barabara zake kwa kiwango cha Lami nzito utakaogharimu zaidi ya Sh milioni 900. Barabara zilizopo kwenye mpango huu ni zile za Kaloleni zitakazojengwa kwa Urefu wa Mita 650 na Kata ya Themi - Barabara ya Serengeti kwa urefu wa Mita 700. Kazi zimekwishaanza na zitakamilika baada ya miezi Saba.
Chanzo cha Fedha ni Mfuko wa Barabara

Tunawaomba radhi wananchi wetu wa mitaa hiyo kwa usumbufu watakaoupata na pia tuwatakekutumia barabara nyingine mpaka pale Ujenzi utakapokamilika.

Barabara ndogo hii ikamilike ndani baada ya mizezi 7? Hii si sawa.
 
Back
Top Bottom