huhuhu bajet mlioiponda leo inatengeneza barabara then mnasema chadema nyie jitoeni ufahamu tuuu
Eti chadema yafanya kweli wakati chanzo cha mapato ni Mfuko wa Barabara.
huhuhu bajet mlioiponda leo inatengeneza barabara then mnasema chadema nyie jitoeni ufahamu tuuu
Kwetu kyela barabara fupi kama tai lakini mwaka na ushee vimetokomea hakuna hata dalili ya kwisha .Mkuu kweli nilikua huku kwenye ziara na Mwenyekiti kunautafauti sana na ccm walivyokua kwenye almashauri tuu
Umeumia sana , pole mkuu .Eti chadema yafanya kweli wakati chanzo cha mapato ni Mfuko wa Barabara.
Hiyo pesa niyajiji shirikisha ubongohuhuhu bajet mlioiponda leo inatengeneza barabara then mnasema chadema nyie jitoeni ufahamu tuuu
Nothing newHalmashauri ya Jiji la Arusha imeanza ujenzi wa barabara zake kwa kiwango cha Lami nzito utakaogharimu zaidi ya Sh milioni 900. Barabara zilizopo kwenye mpango huu ni zile za Kaloleni zitakazojengwa kwa Urefu wa Mita 650 na Kata ya Themi - Barabara ya Serengeti kwa urefu wa Mita 700. Kazi zimekwishaanza na zitakamilika baada ya miezi Saba.
Chanzo cha Fedha ni Mfuko wa Barabara
Tunawaomba radhi wananchi wetu wa mitaa hiyo kwa usumbufu watakaoupata na pia tuwatakekutumia barabara nyingine mpaka pale Ujenzi utakapokamilika.
huhuhuhuHiyo pesa niyajiji shirikisha ubongo
Ameumizwa sana na uongo wa haya maukawaUmeumia sana , pole mkuu .
Nani? Mrisho Mpoto Gombo? Atajibeba mwaka huu!!Kuna kiongozi moja amepelekwa pale kupiga siasa amebaki kutapatapa tuu
Mtu anayefanyakazi kupata mshahara au posho ni wajibu wake na kama kuongezwa ni jinsi maono ya mwajiri wake alivyoona anastahili kuongezwa au hapana.Vipi kuhusu kujiongezea posho, Napo wamefanya kweli?
Nenda nyekahuhuhu bajet mlioiponda leo inatengeneza barabara then mnasema chadema nyie jitoeni ufahamu tuuu
mmh? Huu mpango mbona ulianza tangu muda mrefu?Hata hii watatamani kuipiga marufuku
Naona inapita karibu na soko la shivazzzz[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Halmashauri ya Jiji la Arusha imeanza ujenzi wa barabara zake kwa kiwango cha Lami nzito utakaogharimu zaidi ya Sh milioni 900. Barabara zilizopo kwenye mpango huu ni zile za Kaloleni zitakazojengwa kwa Urefu wa Mita 650 na Kata ya Themi - Barabara ya Serengeti kwa urefu wa Mita 700. Kazi zimekwishaanza na zitakamilika baada ya miezi Saba.
Chanzo cha Fedha ni Mfuko wa Barabara
Tunawaomba radhi wananchi wetu wa mitaa hiyo kwa usumbufu watakaoupata na pia tuwatakekutumia barabara nyingine mpaka pale Ujenzi utakapokamilika.
Wewe unajua hiyo sehemu au unaandika kwa kukurupuka?Ujenzi wa km 1na mita 350 unachukua miezi saba! Wajenzi ni konokono au kobe?
Soma basi japo chanzo cha fedha za ujenzi huo. Halafu uulize, huo mfuko wa barabara ni kitu gani?Muda si mrefu Lumumba na habari ya maelezo watakuja na taarifa KUWA MKUU WA KAYA KASIMAMISHA UJENZI WA BARABARA JIJI ARUSHA.