Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Nilikua huko Arusha Juzi Mkuu kweli kunamabadiliko sana ccm walikua wanafisadi sana hilo jijiHata hii watatamani kuipiga marufuku
Jumla ni kilomita 1 na mita 350. Si mbaya kwa kuanzia!Halmashauri ya Jiji la Arusha imeanza ujenzi wa barabara zake kwa kiwango cha Lami nzito utakaogharimu zaidi ya Sh milioni 900. Barabara zilizopo kwenye mpango huu ni zile za Kaloleni zitakazojengwa kwa Urefu wa Mita 650 na Kata ya Themi - Barabara ya Serengeti kwa urefu wa Mita 700. Kazi zimekwishaanza na zitakamilika baada ya miezi Saba.
Chanzo cha Fedha ni Mfuko wa Barabara
Tunawaomba radhi wananchi wetu wa mitaa hiyo kwa usumbufu watakaoupata na pia tuwatakekutumia barabara nyingine mpaka pale Ujenzi utakapokamilika.
Mungu ibariki Chadema .Halmashauri ya Jiji la Arusha imeanza ujenzi wa barabara zake kwa kiwango cha Lami nzito utakaogharimu zaidi ya Sh milioni 900. Barabara zilizopo kwenye mpango huu ni zile za Kaloleni zitakazojengwa kwa Urefu wa Mita 650 na Kata ya Themi - Barabara ya Serengeti kwa urefu wa Mita 700. Kazi zimekwishaanza na zitakamilika baada ya miezi Saba.
Chanzo cha Fedha ni Mfuko wa Barabara
Tunawaomba radhi wananchi wetu wa mitaa hiyo kwa usumbufu watakaoupata na pia tuwatakekutumia barabara nyingine mpaka pale Ujenzi utakapokamilika.
Kuna kiongozi moja amepelekwa pale kupiga siasa amebaki kutapatapa tuuHiyo Ndio CHADEMA Bwana!
Jecha hayupo Arusha kupinga swala hilo?anyway majiji ya ccm vepeeee.
swissme
Mkuu kweli nilikua huku kwenye ziara na Mwenyekiti kunautafauti sana na ccm walivyokua kwenye almashauri tuuMungu ibariki Chadema .
Ndio yameleta uwajibikaji usiokua na Kifani posho anayochukua Gambo kwa kikao ni 200000Vipi kuhusu kujiongezea posho, Napo wamefanya kweli?
Ndio watazidi kujizika hukoMuda si mrefu Lumumba na habari ya maelezo watakuja na taarifa KUWA MKUU WA KAYA KASIMAMISHA UJENZI WA BARABARA JIJI ARUSHA.
Labda ccm ndio wapigwemtapigwa tu!!!!!!!!!
Hata hii watatamani kuipiga marufuku
WAMEANZA!Vipi kuhusu kujiongezea posho, Napo wamefanya kweli?
Dc au RC?Kuna kiongozi moja amepelekwa pale kupiga siasa amebaki kutapatapa tuu