Wadau,
nimepata kazi halmashuri moja mkoa wa RUVUMA mwaka jana sept kama internal auditor II, Nimefanya kwa muda miez 8,sasa kuna government agency moja niliomba kabla sijapata hii ya halmashauri wamenipa offer ya kazi mkoa wa rukwa kama accounts assistant . tofauti ya mishahara ni milion ,niko kwenye dilemma nifanyeje?
adv na disadv za hizi government agencies ni zipi ukilinganisha na halmashauri?