Halmashauri kuongozwa na wanawake tu

Mimi nikisha enda hata hospital nikakutana na daktari wa kike akanitibu na kuniandikia dawa hakika hata kuzitumia siendi kuzitumia sasa huko kwenye hizo halmashauri sijui itakuaje
ila kuna wanawake wako vizuri sema ndo hivo asilimia kubwa wazinguaji,huku halnashauri nadhani shida itakuwepo ngoja niulize ulize.
 
Kuna jamaa yangu anafanya kazi nyangh'wale geita anadai,DC,DED,AFSA UTUMISHI,MUHASIBU WILAYA,wote wanawake.
mi nadhani kuna haja ya kuchanganya,ukijaribu kuangalia hizo halmashauri unakuta zimezubaa,mi kuna moja niliona maafisa wamama wananuniana yaani haziivi.
 
Hata babati hivyo hivyo,
DC mwanamke, mkurugezi wa halmashauri ya mji ni mwanamke na boss wao RC manyara ni mwanamke
 
braza sasa ivi 3najivunia mapumbu tu!!!
 
Huu ndio ukuda mkubwa sana ss hivi. Siyo Halmashauri tuu, hata Taasisi mbalimbali. Kuna slogan inaimbwa " Wanawake wanaweza,ni zamu yao sasa"
 
RC, DED sijui Afisa Utumishi Sijui Maafisa Elimu wote ni Wanawake.

Alafu bado wao Wataenda kwenye Kikao chao Cha Wanawake agenda Kubwa ni Usawa wa Kijinsia Katika Fursa na Ajira.

Ngoja Niwakumbushe Walipotokea,,
1)Wanawake tukiwezeshwa Tunaweza.
2)Nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna Mwanamke.
3)Uwezo Hawauchagui Jinsia.
4) Wanawake kuna mambo wanawazidi Wanaume.
5)Wanawake ni zamu yao Sasa.
6)Adui wa kwanza wa mwanamke ni Mwanaume.

Baada ya Ajira nyingi kuchukuliwa na wanawake na masokoni kujaa wao WAKAANZA KUSEMA.

7) Wanaume wamekuwa wavivu Hawajishughurishi Wanapenda Kulelewa.
8) Wanaume wamekuwa waoga. Hawajiamini.
9)Wanaume Wanalalamika Sana kwenye mitandao.

Kwaiyo Unafungwa Mikono na kisha unaambiwa Upambane Ukishindwa Unaonekana Mzembe. Sad.

Now Kijana wa kiume anapoenda kuomba ajira anatamani aandike yeye ni Mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…