RC ndiyo nani katika ngazi ya Halmashauri?Katika pita pita zangu kuna jambo nimeliona japo kwangu nimelichukulia kwa sura tofauti kidogo hasa kiutendaji
Juzi nilibatika kufika halmashauri moja inaitwa mji wa mbulu huko manyara.
katika kufatilia baadhi ya mambo niliambiwa kuanzia RC,DC,DED,SLO,AFISA ELIMU wote ni wanawake.
naombeni wazoefu wa masuala ya uongozi na hii halmashauri je mambo yanaenda vizuri au kuwepo kwa huo mlolongo kuna impact yoyote kiutendaji?
Nipo hapa kujifunza
Japo sijapata mda mzuri wa kukaa na wenyeji ila bila shaka kuna shida,wanawake tuna mambo mengi mara uwaze salon,mara mtoko wa kesho mara hili mara lile kwa kweli mambo ni mengiHapo lazima shida iwepo.
Women are irrational.
Ni kama nyumbani baba hawezi kaa na watoto bila mama. Nyumba itageuka gaza
Ili iweje,ni wapi walipo pawezea zaidi?Katika pita pita zangu kuna jambo nimeliona japo kwangu nimelichukulia kwa sura tofauti kidogo hasa kiutendaji
Juzi nilibatika kufika halmashauri moja inaitwa mji wa mbulu huko manyara.
katika kufatilia baadhi ya mambo niliambiwa kuanzia RC,DC,DED,SLO,AFISA ELIMU wote ni wanawake.
naombeni wazoefu wa masuala ya uongozi na hii halmashauri je mambo yanaenda vizuri au kuwepo kwa huo mlolongo kuna impact yoyote kiutendaji?
Nipo hapa kujifunza
Upo sawa kabisa ,ila sikujua kama wewe ni mwanamke🤣🤣🤣🤣🤣Ni kweli uko sahihi lakini pia kuna nature,kiasili wanawake tuna mambo mengi angalau kungekuwepo na mchanganyo ingeleta maana kidogo
aJapo sijapata mda mzuri wa kukaa na wenyeji ila bila shaka kuna shida,wanawake tuna mambo mengi mara uwaze salon,mara mtoko wa kesho mara hili mara lile kwa kweli mambo ni mengi
Kwa hiyo hujui RC ni nani katika Halmashauri au?RC ndiyo nani katika ngazi ya Halmashauri?
Mwanamke hafanyi maamuzi bila kumshirikisha mwanaume.Ni kweli uko sahihi lakini pia kuna nature,kiasili wanawake tuna mambo mengi angalau kungekuwepo na mchanganyo ingeleta maana kidogo