Halmashari ya Wilaya ya Ruangwa Yafunga Maduka

Phd Hewa

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
572
466
Halmashari ya Wilaya ya Ruangwa Yafunga Baadhi ya Mabanda ya Wafanya Biashara wa Sokoni na Maduka yanayolizunguka Soko Yakiwemo na Mabanda Ya Stend Kuu ya Ruangwa

Kwa Kile Kinachodaiwa Kupinga Kwa Wafanya Biashara Hao Kulipa Kodi Iiyozidi Mara Nne ya Bei ya Zamani Ambayo Ilikua Sh. Elfu 5000.

Na Sasa Kupandishwa Kodi Hiyo Mpaka Kufikia Kiasi Cha Sh Elfu.25,000,

Chanzo Jamaa wa Karibu Yangu.
 
Ok Poa Lakini Mkuu Hapo Mwisho si Niliandika Elfu..


Subiri walimu waje wakufafanulie, anyway in short (andika "Elfu 25000 kwa maneno" ) baadaye badili andika kila kitu kwa tarakimu
 
Si alijidai kuwa nchi hii tajiri ina pesa sana ila ana shangaa kutuona watu wake sisi ni maskini mmmhh
sasa anapola watanzania wazi wazi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…