Ni mazoezi na kula vizuri. Pia kwa msaada wa cream na mafuta aghali sana. Bila kusahau surgery za madola mengi ambazo mwanamke wa kawaida hawezi kuzipata na huishia kutumia mafuta ya nazi au yaliyopigwa marufuku ya kichinachina. Hakuna mwanamke wa umri huo ataonekana na ngozi ya aina hiyo bila msaada wa hayo yaliyotajwa hapo juu.