Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Jana ilikuwa lini? Ijumaa? Yatakuwa matunda njia ya msalaba hiyo.Bila ya shaka jana ulienda kuungama,hauwezi ukawa mtakatifu ghafla kiasi hiki.
Hivi jana ulinambia nimwulize nini Z? Valeur ilipoteza netiweki.hii nayo imekaa njema KIAINA
kwani nilikuwa shetani?
Twenzetu tukazimue maeneo ya Shimo la Udongo. Kuna makongoro ya kitimoto yanakata mning'inio vibaya mno.Kwa hiyo unataka kusema ninadesa si ndio.Lakini inawezekana kwani tangu morning nahisi kama nina hangover flani hivi.