Aliniacha, akaolewa sasa ananitaka

Nigga What

Senior Member
May 1, 2021
164
438
Mimi ni kijana wa miaka 30 naishi Makongo nataka ushauri kidogo. Nilikuwa na mwanamke tulikutana mwaka 2011 nikianza mwaka wa kwanza UDOM lakini mwenzi wangu alisoma Engineering chuo kimoja maarufu Turkey. Tulipendana sana na yule dada kipindi hicho tunawasiliana kwa video calls skype na viber, whatsapp kwa mara ya kwanza nilitumia miaka hiyo na yeye ndiye aliyenifundisha kupitia simu yangu Smart phone ya kwanza Nokia symbian

Tuliendelea namapenzi yetu akawa akirudi likizo anakuja dom tunafanya mambo yetu maisha yanaendelea, tulipanga mipango yetu vizuri ya maisha ya mbele na watotot wetu majina tutajayowapa nk

Baada ya mimi kumaliza chuo 2014 niliingia mtaani nikiwa sina dira naishi nyumbani na nilikua nahaha kutafuta nafasi za kujitolea, na yeye pia alipomaliza alirudi tanzania ila kwa kuwa mzee wake ni kiongozi mwenye network kubwa basi akamuunganisha na kampuni moja maarufu ya engineering hapa bongo.

VITIMBWI VINAANZA: Kuna siku nimeamka zangu asubuhi maeneo ya kimara nilikokuwa nikiishi ilikuwa ni weekend na kitu cha kwanza ilikuwa kumpigia mwenzangu lakini nilishangazwa na maneno aliyoyatoa kuwa kuna mtu amemshauri kuwa mimi siwezi kumuoa kwa sababu jamaa ni mtu wa saikolojia kwa jinsi alivyosimuliwa kuhusu mimi anaona nataka kumchezea huyo binti GADEMITI. Nikamuuliza huyo mtu ni nani akaniambia ni mmoja wa waajiriwa kwenye ofisi yao nikamuuliza mwanamke umewezaji kumwamini huyo mtu wakati mimi na wewe tunajuana vizuri way back, akanijibu kwamba mimi nimebadilila si kama zamani tulivyokuwa aisee nilitamani kulia. Kuanzia hapo kila nikimpigia simu yuko busy na baadae hanitafuti

Nilichanganyikiwa na ufukara jumlisha kufanyiwa kitu kama hicho ni kibaya zaidi kuona post instagram za mwanamke akichumbiwa na mtu yule yule aliyemlisha pete, kuna siku nilitembea kutoka riverside mpaka stop over kimara sikujua hata nimefikaje, niliandamwa na mawazo nikakonda sana

Mungu si athumani nikapata kijisehemu cha kujitolea Mikocheni nilifanya kwa mwaka 1 na miezi 3 nikaajiriwa na kulipwa mshahara wa maana safari kibao per diem zikafurika nalala hoteli nzuri kifupi maisha yakanyooka, mwenzangu akaolewa mapicha kibao marafiki zangu walilaani sana kitendo cha mwanamke yule.

Mwaka 2019 nilikua kibonge hatari maana nilikua nakula na kunywa bia sina stress mrembo akikatiza mbele napita nae na ofisini kwa mwezi naingia siku 12 tu the rest ni kula maisha nikakopa na kagari ka mjapan kapremio kwahiyo full kipupwe

KARMA KAANZA MAMBO YAKE: Nikiwa maeneo ya MIKOCHENI tanesco nilikutana na yule mwanamke akiwa na mwenzi wake alishituka sana mpaka mwenzi wake alihisi kitu mimi aikujali nikawasha ndinga nikateleza lakini baadae niliona dm instagram akinishangaa kunenepa nilipoangalia instayake nilikuta amefuta zile picha za engagement na ndoa zote, aliniomba namba yangu DM na akanipigia akiwa mnyonge sana

Niliamua kumkwepa kwa muda kwa sababu huwa nina huruma sana na huruma yangu inaweza kuleta maafa baadae, wiki aliyopita ameniandikia sms kuwa mtu wake amebadilika sana na anaomba ushauri anakuja MAKONGO makazi yangu mapya nimshauri.

Nifanyaje ndugu zangu?

Hii ni stori ya mfanya kazi mwenzangu ilionisisimua sana, ushauri wako ni muhimu tafadhali.
 
Sasa unataka tukupe ushauri gani?
 
😏
 
Jamani mbona hayo mambo yapo wazi! Wewe ni mshauri wa ndoa yao?mbona anapo taka kuolewa na kukuacha hakuomba ushauri kwako?nini ambacho huelewi kwamba huyo ni mke wa mtu?tenda unacho taka kutenda ila ukumbuke hata mkewako mtarajiwa atakuwa x wa mtu ndio utajua kuwa dhambi mbaya!.
 
Heee
 
Kimbia, kimbia
Kwa mara ya tatu nasema kimbia
Achana nae usimuwaze kimapenzi Tena kabla ya kumpiga chini hebu onyesha kwamba huna njaa Tena mwalike ukutane nae Lunch kwenye hoteli Kali halafu pembeni uwe na mtoto mkali zaidi yake wa kuoshea nyago halafu uwe unamwambia huyu pisi Yako huyo ni dadaako wa shule Ile kikauzu ajue kabisa kutesa Kwa zamu!
Baada ya hapo akuonage Kwa Instagram tu!
 
kuoshea nyago tena, any way thanks
 
Mbona thread inaonekana kuwa ina pande mbili tofauti katika mhusika mmoja?

Simulizi inaonekana kama wewe ni matured tayari kwa jinsi ulivyodadavua miaka ya umalizaji wa chuo!

Lakini ushauri unaoutaka katika hadhira, inaonekana kama bado ni mwanafunzi wa primary ama seko ambaye haujafaulu masomo na kuanza maisha!

Ninajiuliza, unataka watu wakushauri nini hapo, kwamba uvunje ndoa yake ili umuoe wewe ama uanzishe naye mahusiano ya kimapenzi akiwa ndani ya ndoa?

Ingawa unasema simulizi hii ni ya kunukuu toka masimulizi ya rafiki yako, basi haukustahili kuileta hapa kutafuta ushauri, bali wewe mwenyewe ungelimalizana naye kwa kumpa makavu live.

Ama kumtukana matusi udhi ya nguoni ili akili za kiutu uzima zimsogee kumnusuru na balaa analotaka kulivagaa kwa makusudi, huku M/Mungu alikwisha mnusuru tayari.
 
Sawa kiongozi nitampa matusi kama ulivyonishauri hapo juu.
 
Dhambi kubwa kwa mwanaume.;
1.Kusomesha
2.Kurudiana na mwanamke aliyekuacha
3.Kuoa mwanamke aliye na mtoto na aliyemzalisha yupo hai
4.etc

Tafakari
kuoa mwanamke mwenye mtt nisawa nakununua kiwanja nyenye mgogoro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom