Haliniishi moyoni...

Bila ya shaka jana ulienda kuungama,hauwezi ukawa mtakatifu ghafla kiasi hiki.
Jana ilikuwa lini? Ijumaa? Yatakuwa matunda njia ya msalaba hiyo.

hii nayo imekaa njema KIAINA
Hivi jana ulinambia nimwulize nini Z? Valeur ilipoteza netiweki.

kwani nilikuwa shetani?

Kwa hiyo unataka kusema ninadesa si ndio.Lakini inawezekana kwani tangu morning nahisi kama nina hangover flani hivi.
Twenzetu tukazimue maeneo ya Shimo la Udongo. Kuna makongoro ya kitimoto yanakata mning'inio vibaya mno.
 
Mkaribishe kwako, usilipe baya kwa baya Mama! Maana mabaya hayataisha nyumbani kwako.. Kama huyo Mchumba wako ni tabia yake ataingia line tena. Utakuwa umejinasua nae..
 
Aroo hiri rimjamaa rimemwaga pwenti asee!
 
Tubu na kuiungama injili nikurudishe kundini.

Hapo kwenye red tutahitaji ushahidi:D:D:D!!!!!!!

Mpwa wewe utakuwa ulisoma masomo ya biashara,waliosoma hesabu kuna kitu wanaita extrapolation kama sijakosea,kama ametukuka kilugha,kimatamshi,tukiextrapolate to the x-axis unakuta na kimatendo pia.upo hapo mpwa,ukitaka solid evidence kwa kweli sina.
 
Pole sana binamu kwa kisa hiki kilichokupata.........jaribu kusamehe na ugange yajayo......ni ngumu but no way out
 
Umestukia mpwa,tatizo mimi na wewe tulikuwa tunazunguka.
Hehehe! Ukiona hivyo ujue hangover inakaribia kukatika.

Mpwa wewe utakuwa ulisoma masomo ya biashara,waliosoma hesabu kuna kitu wanaita extrapolation kama sijakosea,kama ametukuka kilugha,kimatamshi,tukiextrapolate to the x-axis unakuta na kimatendo pia.upo hapo mpwa,ukitaka solid evidence kwa kweli sina.
Dah! Ngoja nikaikonsalti TUKI. Hehehe! Huo ung'eng'e kwa sisi tulipiga skuli mpaka fom foo B shule za kata tunatoka kapa hapo. Ma x-axis na ma y-axis LOLZ! Kwa huyu binti solid evidence ni LAZIMA. Otherwise you are done!
 
Hehehe! Ukiona hivyo ujue hangover inakaribia kukatika.

Dah! Ngoja nikaikonsalti TUKI. Hehehe! Huo ung'eng'e kwa sisi tulipiga skuli mpaka fom foo B shule za kata tunatoka kapa hapo. Ma x-axis na ma y-axis LOLZ! Kwa huyu binti solid evidence ni LAZIMA. Otherwise you are done!

Haya bwana kwa leo mshindi wewe.
 
dah Aninna best huyo angenipata roho ya Idd Amin kama mimi angejuuuuuuuuuuuuta ................
 
bht please dont compare yourself with this person highlighted
hahaaa don be scared najua sitamfikia kwa ukatili mweeeeh!!!
ila huyo shangazi nadhani ningefunga naye chapter by now....

Aninna your are a good person with a good heart......ulimsamehe
usimkaribishe kwako, kwani usingekuwepo je.....afanye taratibu za pa kukaa mwenyewe bana achana nae asije akaharibu tena.....
 
ila huyo shangazi nadhani ningefunga naye chapter by now....QUOTE]kumbe sometimes nawe mbabe eeh

hapa na kubaliana na wewe, hakuna sababu Annina hakose usingizi kwa kuogopa kijana wake night atahama kitanda na kuhamia kwa shangazi yake wakati yeye anakoroma....mwisho wa siku anaona kitumbo cha shangazi mbele ndio atalia na kusaga meno
 
kwenye changu mimi ni mbabe always wala sitanii hapa.......nakwambia wala asingethubutu hata ku-imagine kuwa anashangazi kule anakokwenda kufanyia internship!!!!!

anaything is possible with such a shameless shangazi, sasa kuepuka balaa jingine asimpe nafasi ya kurudia kosa (ili ndo aonekane kakosea sasa)
mpotezeee mwambie atafute kivyake kwani wewe ndo ulimpangia kuja huko??
 
jiamini bi.mkubwa..,iweje yeye tu awe technical kukuibia wewe,kwani wht do she has mpaka na huyo mchumba wako adanganyike?, kaza buti,muite uone imani ya mchumba wako kama anakupenda kiukweli.....

remember; m2 hachungwi
 
nimelazimika kukushauri usimsamehe hata tone, pls pls pls hakikisha unakaa nae mbali sana alipaswa kufikiria haya yote kabla ya kukusaliti, bi maana kujua kama kuna leo na kesho, kama wanasema kosa si kosa ila kurudia hapa utakua ni mwenye kurudia kosa pls dont imenitouch sana pls dont.
 
Annina, nafikiri hujamsamehe huyu shangazi yako... lakini bado una nafasi ya kusamehe. Ila kama imeshindikana, usimkaribishe. Kwa nini uishi na mtu ambaye una chuki naye?? Utazidi kujiumiza, lakini kumbuka kuwa tabia haina dawa... kama hiyo ni tabia yake basi atalala na huyo mchumba wako wa sasa pia. Its your choise!!
 
nimelazimika kukushauri usimsamehe hata tone, pls pls pls hakikisha unakaa nae mbali sana alipaswa kufikiria haya yote kabla ya kukusaliti, bi maana kujua kama kuna leo na kesho, kama wanasema kosa si kosa ila kurudia hapa utakua ni mwenye kurudia kosa pls dont imenitouch sana pls dont.

Sina hakika kama ushauri huu unafaa,kwani kama unavyosema kuna leo na kesho.Leo shangazi ndo muhitaji uwezijua kesho muhitaji anaweza kuwa aninna,unaona tatizo linapokuja.Uamuzi wowote utakaochukua aninna busara itangulie jazba.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom