Sikiliza ndugu chama kinaendeshwa kwa Katiba na kanuni ikiwa Mwamba alimwambia Mdee akaapishwe...bila taratibu za chama kufuatwa na Mdee alijua kwamba utaratibu hauko hivyo na akafanya kama alivyoambiwa mjinga nani hapo!Hilo alilijibu technically sana ili kuepuka kuchafua hali ya hewa. Personally, I am speculating kuwa, mwamba anaweza kuwa anahusika katika hili. Halma hawezi just kuchukua decision ya hivo bila kuwa na backup ndani ya senior leaders. Hata kama mwamba alikana kushiriki kwake, ila kuna hiyo possibilities.
Hoja mavi kabisa.muulize mwanao wa chekechea atakupa jibu mujarabu kabisa.Yaani kumbe hata hujui kinachojadiliwa hapa.duuuuh!Kwanini hamjibu swali la Mdee?
Kwa nini 2010, 2015 wabunge wa viti maalum waende bungeni na 2020 wasiende?
jibu ni rahisi 2010 na 2015 walioenda bungeni hawakufoji sahihi za katibu mkuu na kupora mamlaka ya kamati kuu kwa kujiteua.Kwanini hamjibu swali la Mdee?
Kwa nini 2010, 2015 wabunge wa viti maalum waende bungeni na 2020 wasiende?
Ila wengine wote hawajawahi kupewa option ya maridhiano baada ya kufukuzwa kwenye mazingira kama haya ila hawa tu! (Refer issue ya Silinde&Co juzi tu)
Kama itatokea basi ni nguvu ya mapenzi zaidi kwamba kuna mademu za akina Mwalimu kule.
Toka lini CDM imeanza ku-negotiate na waitwao wasaliti?
Makamanda uchwara ni dhahiri sasa wamechanganyikiwa. Yaani hawajui washike lipi waache lipi.
Halima ni mjumbe wa kamati kuu ya chadema ulitaka asubiri kamati kuu ipi.jibu ni rahisi 2010 na 2015 walioenda bungeni hawakufoji sahihi za katibu mkuu na kupora mamlaka ya kamati kuu kwa kujiteua.
Halima na genge lake walipaswa kuvuta subira kamati kuu ifanye uamuzi maana Ndugai alisema anawasubiri hadi bunge la April wapeleke watu.
Huenda hata kama kamati kuu ingeamua kupeleka watu basi siyo lazima wawe ni akina Bulaya, Mdee, Matiko na wengine
Jamani katika yote tukumbuke hajasema aliyemteua na kumtuma akaape.
Sababu ule ulikuwa uchafuzi 100%kuluko uchaguzi mwingine wowote
Nawaza yule bwana alowaapisha na anayelazimisha kuwa wabunge incase wakatengua mambo hayo atasemaje tena?Amecheza karata vizuri, ila angeleta ujeuri wa kutishia kuhama chama basi ndio ulikua mwisho wake kisiasa.
Ange danganyika kwenda CCM kisa Dk. Bashiru amemkaribisha au kinga walioahidiwa na Speaker pamoja na A.G, angekutana na fitna nyingi sana za wana CCM kindaki ndaki...
Halima ni mjumbe wa kamati kuu ya chadema ulitaka asubiri kamati kuu ipi.
Itakuwa kapata washauri wazuri ndiyo maana kasanda mapema baada ya upepo kumkataaAmecheza karata vizuri, ila angeleta ujeuri wa kutishia kuhama chama basi ndio ulikua mwisho wake kisiasa.
Ange danganyika kwenda CCM kisa Dk. Bashiru amemkaribisha au kinga walioahidiwa na Speaker pamoja na A.G, angekutana na fitna nyingi sana za wana CCM kindaki ndaki...
Yule ni kichaa achana nayeNawaza yule bwana alowaapisha na anayelazimisha kuwa wabunge incase wakatengua mambo hayo atasemaje tena?
Nawaza yule bwana alowaapisha na anayelazimisha kuwa wabunge incase wakatengua mambo hayo atasemaje tena?
2010 na 2015 CHADEMA iligoma kutambua matokeo ya Urais pekee. 2020 imegoma kutambua matokeo yote ya uchaguzi mkuu. Elewa tofauti hapo.Kwanini hamjibu swali la Mdee?
Kwa nini 2010, 2015 wabunge wa viti maalum waende bungeni na 2020 wasiende?
Itakuwa kapata washauri wazuri ndiyo maana kasanda mapema baada ya upepo kumkataa
Tangu lini mgogo akawa na akili?Yote kheri. Mshauri mwema hawezi kuwa sawa na hawa kina supika.
Kumbuka supika alianza kuleta kujitutumua na kujimwambafy. Angoje waelewane!
Kubwa zima lakini ndiyo hivyo tena.
Tangu lini mgogo akawa na akili?
Fanya utafiti kama kuna mgogo ana biashara kubwa hapo DodomaMkuu tusiwakaribiahe wana maovu ya baba zao. Supika ni mgogo lakini watoto wote si masupika.