Ni kweli.
Lakini kuna binadamu wengine wakiona mtu ana matatizo ndo wanatumia hayo hayo kuwageuza wenzao minofu!!
Hili wazo mbona limekaa kama survival of the weakest.
Hivi kweli Kongosho wanawake fit wanahitaji kufikiria option ya kungonoka ili tu kupata wanachokihitaji maishani?
Eti bana, kwani shida iko wapi, si fursa? Waangalie kina Wema wanavyohongwa Magari ya gharama. Wengine madisenti wanakula dagaa kila Siku. Hiyo ni moja ya fursa waliyopewa wakina dada, tumieni jamani.
Eti bana, kwani shida iko wapi, si fursa? Waangalie kina Wema wanavyohongwa Magari ya gharama. Wengine madisenti wanakula dagaa kila Siku. Hiyo ni moja ya fursa waliyopewa wakina dada, tumieni jamani.
Yaani kuna Vidume vinahonga mpaka nyumba kupata ile maneno. Mpaka najiuliza inawezeka Shetani most of the time anakuwa amepiga kambi between women's Legs
Thanks HalimaHaya sio maneno yangu bali ni ya mbunge wa Kawe Halima Mdee kuwa wasichana msitegemee rushwa ya ngono kutimiza ndoto zenu za maisha. Mdee amewataka wasichana kujiamini na kutokutemea kutoa rushwa ya ngono ndipo watimize ndoto zao za kimaisha. Amesema mkijipitisha pitisha kama minofu lazima mtatafunwa tuu. Mdee aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na Wanafunzi wa Chuo cha Mwenge wakati akizindua Tawi la Chadema la chuoni hapo
Is she single? :cool2:
yep!! na pia sio wote wanaotafunwa hawana alternativeWay to go gal.... I admire her drive.
BTW Sio wote wanaotafunwa wana option ambazo zote zaweza lipa both ways....
nyie msihate wanawake ambao wana talent ya kutumia bottom power to get into high places.
everyone has a price, the issue is to know what it is.
Ni wanamme wangapi wamelipiwa na mafisadi na wanakuja hapa kuwasifia kwa kila hali?
Hao nao wanatofauti gani na hawa wanaotumia miili yao?
Ni wale wale tu.
Hehhee. Hawa nao minofu ya kutafunwa so eh?
I think it doesnt matter whether she is single or not!
Naona kuna wengine humu wanatumia hii thread kutongozana! Kaaaz kweli kweli, watu wana njaa ya kufa mtu!