Halima Mdee: Wasichana msitegemee Rushwa ya Ngono kutimiza ndoto zenu za Maisha

Ni kweli.
Lakini kuna binadamu wengine wakiona mtu ana matatizo ndo wanatumia hayo hayo kuwageuza wenzao minofu!!

Amesema fuata ndoto zako.
Amesema pia kuwa heshima unaijenga mwenyewe
Matatizo yasikufanye uache ndoto yako
Matatizo yasikufanye upoteze heshima yako.
 
hao fit watumie akili zao kupata nafasi.
Hao wengine nao wajiongeze kuishi. Mwisho wa siku kila mtu anataka kula.

Nao wanatumia trick hiyo kula.

Hawako weak, ndoa maana wameona stregh yao na kuitumia, wangekuwa omba omba.

Hili wazo mbona limekaa kama survival of the weakest.
Hivi kweli Kongosho wanawake fit wanahitaji kufikiria option ya kungonoka ili tu kupata wanachokihitaji maishani?
 
Ukitaka kumuua nyani usimtizame usoni.

Kama mwingine hawezi tumia uchumi alopewa wengine wanaweza.

Tena nzuri zaidi kwa werevu wanaokuwa na vission, na wanatumia ngono ka mojawapo ya mission na wanafika mbali.

Ukute na kichwani pako safi, aah shwari, wanabaki kusema tu, yule alitembea na fulani hapo wako ndani ya kibajaj mwenzao hapo anaumia na AC za kwenye ndege kwenda kwenye miradi yake swideni

Eti bana, kwani shida iko wapi, si fursa? Waangalie kina Wema wanavyohongwa Magari ya gharama. Wengine madisenti wanakula dagaa kila Siku. Hiyo ni moja ya fursa waliyopewa wakina dada, tumieni jamani.
 
Eti bana, kwani shida iko wapi, si fursa? Waangalie kina Wema wanavyohongwa Magari ya gharama. Wengine madisenti wanakula dagaa kila Siku. Hiyo ni moja ya fursa waliyopewa wakina dada, tumieni jamani.

Updates: Wema ameishanyang'anywa gari, jamaa kaingia mitini baada ya kushindwa kum-control Wema, alidhani akimpa gari ndo atatulia na yeye tu!!!
 
Yaani kuna Vidume vinahonga mpaka nyumba kupata ile maneno. Mpaka najiuliza inawezeka Shetani most of the time anakuwa amepiga kambi between women's Legs

Umeneno kweli jamaa yangu, ona Ki-LULU kinavyojengewa nyumba fasta fasta
 
nyie msihate wanawake ambao wana talent ya kutumia bottom power to get into high places.
 
Haya sio maneno yangu bali ni ya mbunge wa Kawe Halima Mdee kuwa wasichana msitegemee rushwa ya ngono kutimiza ndoto zenu za maisha. Mdee amewataka wasichana kujiamini na kutokutemea kutoa rushwa ya ngono ndipo watimize ndoto zao za kimaisha. Amesema mkijipitisha pitisha kama minofu lazima mtatafunwa tuu. Mdee aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na Wanafunzi wa Chuo cha Mwenge wakati akizindua Tawi la Chadema la chuoni hapo
Thanks Halima

One of the saddest thing in human dignity ni kujithaminisha na nyama, gari, kuku, chai au kitoweo cha aina yoyote ile with a price tag!!! Inasikitisha sana kwamba hata very smart girls/women sometimes wanatumia hizi approaches bila kujua kwamba hata bila favors wao wanaweza

I would love to see the clip,

big up HM
 
  • Thanks
Reactions: EMT

....dahhh, imenikumbusha advantage na dis advantages za blonde 'babydolls'....
 
everyone has a price, the issue is to know what it is.

Ni wanamme wangapi wamelipiwa na mafisadi na wanakuja hapa kuwasifia kwa kila hali?

Hao nao wanatofauti gani na hawa wanaotumia miili yao?

Ni wale wale tu.

nyie msihate wanawake ambao wana talent ya kutumia bottom power to get into high places.
 
everyone has a price, the issue is to know what it is.

Ni wanamme wangapi wamelipiwa na mafisadi na wanakuja hapa kuwasifia kwa kila hali?

Hao nao wanatofauti gani na hawa wanaotumia miili yao?

Ni wale wale tu.

Hehhee. Hawa nao minofu ya kutafunwa so eh?
 
Naona kuna wengine humu wanatumia hii thread kutongozana! Kaaaz kweli kweli, watu wana njaa ya kufa mtu!
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom