Halima Mdee on ITV Asubuhi Hii!.

Mbunge wangu, ameadimika sana jimboni hadi tumemsahau kama yupo!

Sio kweli, unless unataka kusema amekosekana mtaani kwako! Yale aliyoyafanya kwa nguvu za ajabu kuzuia ardhi kumegwa hovyo ni yetu sote na naamini yuko nasi muda wote au unamtaka ki-kisura?
 
Naona makamanda mnaropoka ovyo tu mtadhani mmekatwa vichwa, nimewambia leteni ushahidi lini nilisema mbunge wangu Mnyika...kumbe nikimchana Mnyika apeleke maji Kimara Bonyokwa mnadhani ni mbunge wangu.

Habari za week-end mkuu?
 
Mbunge wangu huyu nilimpigia kura lakini bahati mbaya anakutana na upinzani mkubwa ndani ya chama chake kati yake na Josephine, nani sijui atapitishwa na chama kugombea jimbo la Kawe.

Kijana kwa unafiki haujambo
 
Sijawahi kupiga kura Ubungo, kumwambia Mnyika watu wa Kimara wanataka maji ndiyo kupiga kura.

Kwani ni nani alikuchagua wewe kuwa msemaji wa Wananchi wa Ubungo na ikiwa wewe huishi Ubungo???

Je, katika JImbo lako mmemaliza matatizo yote hadi kuingilia Jimbo lingine??



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!
 
Wewe ni gamba inawezekanaje mgombea ubunge wa jimbo lako kupitia mabwepande usi mjue au ndiyoo unazidi kujianika kuwa wewe ni mnafiki kama mwenyekiti wako mhaongwa suti na mpiga dili za madawa ya kulevya...

Mara nyingine usishangae mkuu manake yule wa ccm alikuwa mgalatia halafu huyu wa Chadema alikuwa na jina angalau linalotoka huko Middle East hata kama hafuati hiyo imani ya Ritz
 
Pasco always check your grammar, mara uandike wanadodi mara samanini,ndio kiswahili gani hiki?una haraka gani?kwann hutulizi akili yako?
 
Uchaguzi ujao jimbo la kawe mgombea atakuwa diwani wa kunduchi, wa kawe au josephine. Halima haelewani na slaa
 
Uchaguzi ujao jimbo la kawe mgombea atakuwa diwani wa kunduchi, wa kawe au josephine. Halima haelewani na slaa. Itakuwa kama tarime ambapo walimtosa yule jamaa aliekasirika na kujiunga na cuf
 
Mkuu Pasco kweli Mheshimiwa yuko njema sana sema sauti inamwangusha sana sijui zamani alikuwa anakula msoba ha ha ha ha.

 
Last edited by a moderator:
Uchaguzi ujao jimbo la kawe mgombea atakuwa diwani wa kunduchi, wa kawe au josephine. Halima haelewani na slaa

Hizo ni pumba unaongea;

CDM siyo mali ya Slaa bali ni ya wanachama, bila ya wanachama CDM haitakuwepo. naomba panua upeo wako wa kufikiri.

na CDM watafanya kosa kubwa ambalo watalijutia kama watampa jimbo mtu ambaye wanamtaka wao viongozi badala ya yule anayekubalika na wananchi wa Kawe.




MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!!
 
Mbunge wangu huyu nilimpigia kura lakini bahati mbaya anakutana na upinzani mkubwa ndani ya chama chake kati yake na Josephine, nani sijui atapitishwa na chama kugombea jimbo la Kawe.

Ha! ha! ha! ha! ha!, Mkuu Ritz ungependa sana huo mkanganyiko utokee, lakini sijui, tusubiri.
 
Last edited by a moderator:

Ushauri mzuri sana, nadhani wamekuelewa.

 
mambo hayo ni ya CCM ukimsikia mtu anatoa mawazo tofauti na yako unamuita adui,Chadema hatuko hivyo tunachoangalia sisi ni nguvu ya oja, wanaoshidwa kwenda na hilo wanajitoa mmoja baada ya mmoja
 
Wanadodi,

Kwa ref. tuu, Halima Mdee ndie mbunge pekee wa kike wa upinzani iliyeingia bungeni kwa merrits!. Wengine wote "wamebebwa!".

Mkuu Pasco,
Una maana gani hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…