Na huyu eti ndiye alikuwa mstari wa mbele kutetea uzawa.Nimeshtushwa mno kwamba Mzee Idd Simba (tena) anahusika na umilikishwaji wa ardhi zaidi ya ekari laki moja kwa miaka 99, huku eraki moja ikilipiwa kati ya shs 200-500 (TUUUU) kwa mwaka! UZAWA?
magamba mnapenda pesa!wakati wote mnawaza "mshiko"THREAD HAINA MSHIKO
Tatizo lako nini? Si ameuliza tu kama Mdee kamshukuru mwenzie?
Regia mtema unaweza kufafanua zaidi
Kwani kuna tatizo gani kama hao watu wakimiliki ardhi kiasi kikubwa?
- ardhi haitumiki kuzalisha chakula au mifugo?
- hawakufuata na mamlaka husika haziufuata taratibu taraibu katika kumilikishwa hizo ardhi.?
- Kuna watu amabo hawakulipwa fidia.?
- Wamemilikishwa ardhi na wenyewe wanawakodisha wanakijiji?
Tusiwe tu tunapinga bila kujua tunachopinga ni nini hasa. Mimi sioni Tatizo kwa mkapa sumaye au ngwilizi umiliki ardhi kama walimilikishwa ihalali nawalifuata taratibu na sheria zote na wanaitumia ardhi kwa malengo yaliyokusudiwa.
Wakuu salaam.Nimefurahishwa sana na vazi la Mdee alilovaa leo wakati hue akiwasilisha Hotuba yake ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Katika hotuba yake amewalipua Mkapa, Mangula, Sumaye, Nwgwilizi, Mzee Mwinyi na Mzee Malecera kwa umiliki wa ekari nyingi za ardhi katika eneo la Mtibwa mkoani Morogoro.
Viva Halima.
yeye si wale wa CCM wanaowashukuru hadi mabasha zaoAmemshukuru Esther Bulaya?
Unaelekea kuwa ngedereHivi hamsikiagi joto kuvaa hayo magwanda?

Hivi hamsikiagi joto kuvaa hayo magwanda?
Hivi hili neno lina maana gani? hebu tufafanulie..Wakuu mwenye picha hebu aweke hapa, tulione hilo vazi la kamanda wetu - kina dada wa CCM mmeona chama chenye ubunifu? siyo kila siku kuvaa vitenge mnatushosha kuwaangalia.

hakuna kipya

mbona mnapenda kujisifia sana???

THREAD HAINA MSHIKO
Kama gamba la bunge vile; wanaosema ndiyo waseme ndiyoooo!!!! wasiafiki waseme siyoooooooooooo!!!Tatizo lako nini? Si ameuliza tu kama Mdee kamshukuru mwenzie?
Waitie na wenzio kutoka jangwani waje @#%^*? wee!!Hivi Tanganyika siku hizi ardhi imekwisha ndio maana mnawanyooshea wanaochukua ardhi kwa wingi?
Au ndio wivu wa Kike?
Na huyu eti ndiye alikuwa mstari wa mbele kutetea uzawa.