Hujatuambia alipokuwa mwanza kahutubia mamia au maelfu ya watu...lakini kwenye gazeti lenu tumesoma kuwa kahutubia maia ya watu....(kiduchu) tafsiri kwamba wamem-mbedya....wameona hana jipya zaidi ya kula ruzuku ya chama chake tu....Amejaribu kuwadanganya watanzania kuwa mchakato wa katiba utarudiwa upya....sijui atatoa yeye hayo mabilioni ya kuurudia huo mchakato.....amesahau kuwa mwanza walikuwa na mwakilishi au wawakilishi ndani ya bunge maalum na walikuwa wanawapa taarifa ya maendeleo ya mchakato wa katiba...anadhani watu wote hawana luninga hivyo itakuwa rahisi kuwadanganya kumbe watu walikuwa wanaangalia bunge mwanzo mwisho na wana akili kama mbayuwayu.....hawashiki akili ya kuambiwa....