Halima Mdee: Hatujakata rufaa, muda bado upo

Halima Mdee: Hatujakata rufaa, muda bado upo

Tukiwaita vibaraka mnabisha nani anachafua Taifa kati ya Magufuli na wanaoondoka? Ipo siku mtayajutia ayo manjaa yenu.
Mtafutikia mbali mawakala wa shetani mliopanga maigizo ya kulichafua taifa letu na kutimukia ugaibuni. Taifa la Tanzania limefunikwa kwa damu ya Yesu, nia yoyotembovu hamtafanikisha.
 
Hakuna haja ya kukataa rufaa, hawatakiwi kwenda bungeni kushiriki kwenye bunge la wezi wa kura na wamwaga damu fullstop.
Acheni mfumo dume wa kidiktekta, Halima na wenzake wana kila haki ya kushiriki kwenye bunge letu tukufu !
 
Hakuna haja ya kukataa rufaa, hawatakiwi kwenda bungeni kushiriki kwenye bunge la wezi wa kura na wamwaga damu fullstop.
Then wakae tu nyumbani wanasubiri miaka mitano ipite
 
Mzee Halima Mdee na Covid-19 wenzio wote mmeshakua "ZILIPENDWA".

Kaeni chini mjitafakari na mjiKumbushe mlipotoka na mnapoelekea. kati ya "CCM" au "WANACHAMA WA UPINZANI"(Mlio Waasi) nani aliewapigania baada ya hii issue kutokea??? Mkalazwa hospitalini mkiwa "MAHUTUTI" na kutibiwa kwa "PESA ZA WANACHAMA WA UPINZANI na MAOMBI YA VIONGOZI WA DINI WAPENDA HAKI".

Leo hao wanachama wa upinzani pamoja na hao viongozi wa dini wanaopenda haki kwenu hawana maana, na mnajali matumbo yenu.

#Baada ya hapo, ndio mtajua mna roho za aina gani wewe na wenzako.

Zilipendwa wakati juzi wamekula 90 za magari hahahaha

So ww ulitaka wakae tu pale makao makuu wanafagia au
 
Mdee mrudishe mke wa mtu kwa mumewe acha huo u-bazazi wako kwani pepo kwako ni ndoto! Utakwenda kutumika kama unavyofanya wenzio!
 
They are finished no body wanna here their shitz , no more

To hell with their betrayal movements.

Wamechuja
 
Back
Top Bottom