WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 8,494
- 8,192
Yupo kwa mujibu wa sheria kulinda sheria na si kukengeuka na kutumia sheria ya chato kuvunja katiba ya JMT ya 1977.Spika Ndugai anatambulika kisheria, acheni kukengeuka muwaache wanawake wajiendee bungeni kuwakilisha wanawake wenzao walio ndani na nje ya CHADEMA !