Halima Mdee: Hatujakata rufaa, muda bado upo

Halima Mdee: Hatujakata rufaa, muda bado upo

Yaani nikimtamzama Halima Mdee napata hasira sana, hata sijuhi kwa nini.
 
Sheria ya mfumo wa vyama vingi,matumizi mabaya ya madaraka,uchaguzi,uhuru na haki na wajibu wa Mtanzania,vyombo vya habari,misingi ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 kama vile (a) haki za binadamu(ibara ya 12 na 13),(b) mamlaka na wajibu wa bunge(ibara 63-74),(c)utawala wa sheria kuzingatia mihimili mitatu iliyo sawa kwa kutoingiliana katika utendaji kazi,(d)uhuru wa mahakama,(e) utawala wa sheria,(f)uwajibikaji wa mawaziri n.k.
Kesi imefunguliwa wapii kama hizo sheria zimekiukwa, au niumbea tuuu??
 
Back
Top Bottom