Halima Mdee: BAWACHA Tumepanga kuingia msituni

safi sana mpaka mama koku atoke wizarani
 
Jamani tusipotoshane hapa tujikite kwenye mzizi wenyewe. Msitu msitu msitu msitu hapana! Tuelewe nini Halima anamaanisha basi! Halima wewe na mwanadada makini unajua kutumia sanaa kwenye kujenga hoja wewe ni jembe!
 
Leo nimeshitushwa na kitendo cha wanawake wa chadema BAWACHA kushangilia ushindi wa Halima Mdee kwa kumwagiana pombe hadhalani! Ni utamaduni wa kigeni upo ulaya sio utamaduni wa Kitanzania!
Lakini hata vitabu vya dini vinasema pombe ni haramu kabisa,lakini kwa chama cha siasa kufanya jambo hili ni haramu pia,ikumbukwe chama ni mkusanyiko wa watu wa dini na imani mbali mbali.
Chadema kitendo hiki kimetia aibu na ukakasi chama. Nadhani kuna tatizo la kimaadili ndani ya Chadema.
Pix-1.JPG
 
Mie nineshatangulia nimevuna wanachama wapya 4 hapa ofisini kwangu nasubiria tu kuwakabidhi kadi zao
 
Hata mimi nimeiona ITV kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usku sikuamini! hata kama wawe wana shangilia ushindi wa netball walichofanywa hawa bawacha ni aibu sana
 
acheni porojo ilikuwa shampeni, maranyingi hazina vileo,
 
Leo nimeshitushwa na kitendo cha wanawake wa chadema BAWACHA kushangilia ushindi wa Halima Mdee kwa kumwagiana pombe hadhalani! Ni utamaduni wa kigeni upo ulaya sio utamaduni wa Kitanzania!
Lakini hata vitabu vya dini vinasema pombe ni haramu kabisa,lakini kwa chama cha siasa kufanya jambo hili ni haramu pia,ikumbukwe chama ni mkusanyiko wa watu wa dini na imani mbali mbali.
Chadema kitendo hiki kimetia aibu na ukakasi chama. Nadhani kuna tatizo la kimaadili ndani ya Chadema.

Hopeless. ......
 
Nyie magamba acheni propaganda ambazo hazina kichwa wala miguu.

Hata mimi nimeona kwenye taarifa ya habari ya ITV, zile zilikuwa champagne, ambapo kwa kawaida, kwenye mikusanyiko ya aina hiyo yenye kukutanisha watu wa aina mbalimbali, huwa zinatumika non alcoholic champagne, sasa hapo tatizo lipo wapi?!

Wewe mleta thread hii, mbona mara nyingi, ushahudhuria harusi za wanamagamba wenzio na hizo champagne zimekuwa zikimwagwa nyingi za 'kufuru' mbona hujawahi kutuletea thread hapa jamvini, ukiwalaumu wanamagamba wenzio kuwa wanatuletea tamaduni za kigeni?!

This is the most hopeless thread of the year!
 
Kasema Sii kupigana vita wewe akili ndogo ya ccm bali KUPATA WANACHAMA WAPYA WA RIKA ZOTE!wenzako wanakunywa chai kikombe buku 10 dodoma, wewe unalipwa buku 7 kutwa nzima

Mdee na Wanabawacha wenzake wanawaza kumkomboa Mtanzania ,Wale wa dodoma wao wanawaza dume ama strawberry cndms ipi ina ladha ama kavu kavu
 
Mmh...sisi wengine yetu macho, ni wajibu wetu kuyasoma yale yanayoandikwa humu JF

Lakini mods wakikushukia kama mwewe usije kumlaumu mtu!
 
Leo nimeshitushwa na kitendo cha wanawake wa chadema BAWACHA kushangilia ushindi wa Halima Mdee kwa kumwagiana pombe hadhalani! Ni utamaduni wa kigeni upo ulaya sio utamaduni wa Kitanzania!
Lakini hata vitabu vya dini vinasema pombe ni haramu kabisa,lakini kwa chama cha siasa kufanya jambo hili ni haramu pia,ikumbukwe chama ni mkusanyiko wa watu wa dini na imani mbali mbali.
Chadema kitendo hiki kimetia aibu na ukakasi chama. Nadhani kuna tatizo la kimaadili ndani ya Chadema.

Acha ushamba wewe sio pombe ni shampeni non alcoholic wewe utakuwa umetoka matombo bila shaka.
 
Back
Top Bottom