Halima Mdee: BAWACHA Tumepanga kuingia msituni

Halima Mdee: BAWACHA Tumepanga kuingia msituni

Mdee na Wanabawacha wenzake wanawaza kumkomboa Mtanzania ,Wale wa dodoma wao wanawaza dume ama strawberry cndms ipi ina ladha ama kavu kavu

Devil minds comes from in born character! Dada yangu chikutentema nina wasi wasi na mama yako enzi za ujana wake alikua kahaba(mlupo)!
 
Mbunge wa kawe halima james mdee amesema kuwa chama chake na BAWACHA wanajiandaa kuingia msituni sio kupigana bali wanaingia msitu kwa msitu, poli kwa poli na kijiji kwa kijiji ili kwa muda wa Miezi miwili ili kuhakikisha CHADEMA inasonga mbele na kuenea Tanzania nzima ili kuitoa CCM madarakani.

Amesema kuwa wanawake na vijana wanamuamini hivyo atawaongoza Vizuri na hatawaangusha na wameshafanya kikao tayari na kupanga ratiba ya ziara ili kumkomboa mtanzania.

Chanzo: Habari ITV
utaifakwanza ni Gamba na Intarahamwe ambalo liko interested na harakati za Mpango wa Mungu through CHADEMA
 
Last edited by a moderator:
Mbunge wa kawe halima james mdee amesema kuwa chama chake na BAWACHA wanajiandaa kuingia msituni sio kupigana bali wanaingia msitu kwa msitu, poli kwa poli na kijiji kwa kijiji ili kwa muda wa Miezi miwili ili kuhakikisha CHADEMA inasonga mbele na kuenea Tanzania nzima ili kuitoa CCM madarakani.

Amesema kuwa wanawake na vijana wanamuamini hivyo atawaongoza Vizuri na hatawaangusha na wameshafanya kikao tayari na kupanga ratiba ya ziara ili kumkomboa mtanzania.

Chanzo: Habari ITV
kumbe na wewe unaangalia itv si mnasemaga ni pro chadema nilidhan tbc au gazeti la uhuru
 
Mi Mwenyewe Niko Tayari Kwenda Msituni Hata Kesho[/QUOTE]
Hongera sana mdogo wangu Halima . Tunakuunga mkono tuko pamoja. Nimaamini safu yako hasa katibu Mkuu atafanya kazi vizuri. Nia isiwe ubunge wa viti maalum bali kuwafikia Wanawake wengi na hivyo uhakika wa kushika dola. Mbarikiwe na Mungu.
 
Mbunge wa kawe halima james mdee amesema kuwa chama chake na BAWACHA wanajiandaa kuingia msituni wanaingia msitu kwa msitu, poli kwa poli na kijiji kwa kijiji ili kwa muda wa Miezi miwili ili kuhakikisha CHADEMA inasonga mbele na kuenea Tanzania nzima ili kuitoa CCM madarakani.

Amesema kuwa wanawake na vijana wanamuamini hivyo atawaongoza Vizuri na hatawaangusha na wameshafanya kikao tayari na kupanga ratiba ya ziara ili kumkomboa mtanzania.

Chanzo: Habari ITV

All the best ila jiografia ya TZ miezi 2 ni alinacha zaidi ni kutaliii Na choppa kama viongozi wako
 
Mmh...sisi wengine yetu macho, ni wajibu wetu kuyasoma yale yanayoandikwa humu JF

Lakini mods wakikushukia kama mwewe usije kumlaumu mtu!

Hitakuwa na tatizo maana mimi ajira yangu haipo JF kama wengine, sijui ww mwenzangu mpaka ukawahofu Mods
 
Back
Top Bottom