Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,333
- 5,312
wakuu,niko safarini naelekea bukoba ila nimepita kuna kijiji karibu na Muleba nimeona watu wametanda mkutano wa halima mdee,kilichonishangaza ni kijijini ila kuna nyomi ya watu.
_kwa kweli huyu mwana mama sijui alikuwa wapi siku zote.
_nimemsikia akiwaasa wanakijiji wasikubali kurubuniwa na mafisadi wa ccm kwa kupewa khanga na pombe na wachague viongozi wa UKAWA toka uongozi wa kijiji hadi rais ...