Halima Mdee: BAWACHA Tumepanga kuingia msituni

Halima Mdee: BAWACHA Tumepanga kuingia msituni

Leo nimeshitushwa na kitendo cha wanawake wa chadema BAWACHA kushangilia ushindi wa Halima Mdee kwa kumwagiana pombe hadhalani! Ni utamaduni wa kigeni upo ulaya sio utamaduni wa Kitanzania!
Lakini hata vitabu vya dini vinasema pombe ni haramu kabisa,lakini kwa chama cha siasa kufanya jambo hili ni haramu pia,ikumbukwe chama ni mkusanyiko wa watu wa dini na imani mbali mbali.
Chadema kitendo hiki kimetia aibu na ukakasi chama. Nadhani kuna tatizo la kimaadili ndani ya Chadema.

Kwa hiyo ulitaka wamwagiane togwa au wanzuki? Nitajie vitu vitatu tu ambavyo unafanya visivyo vya kigeni. Mambo yameenda shwari acha wafanye yao.
 
Kasema Sii kupigana vita wewe akili ndogo ya ccm bali KUPATA WANACHAMA WAPYA WA RIKA ZOTE!wenzako wanakunywa chai kikombe buku 10 dodoma, wewe unalipwa buku 7 kutwa nzima
niliwai kuandika humu kwenye JF kwamba chadema wana viongozi makini sana kwani ccm wanapowapa chadema dhana ya udini na dhana ya ukabila ndivyo wanawafanya wawe makini sana katika matamko yao,hapo alichosema Mdee ni kutafuta wanachama lakini ccm wanazungumzia vita, zote hizo ni hila za ccm lakini ccm ndio wanaonekana wazi sio waelewa wa mambo na ndio maana utawala unawashinda
 
Mbunge wa kawe halima james mdee amesema kuwa chama chake na BAWACHA wanajiandaa kuingia msituni sio kupigana bali wanaingia msitu kwa msitu, poli kwa poli na kijiji kwa kijiji ili kwa muda wa Miezi miwili ili kuhakikisha CHADEMA inasonga mbele na kuenea Tanzania nzima ili kuitoa CCM madarakani.

Amesema kuwa wanawake na vijana wanamuamini hivyo atawaongoza Vizuri na hatawaangusha na wameshafanya kikao tayari na kupanga ratiba ya ziara ili kumkomboa mtanzania.

Chanzo: Habari ITV

Hakuna chama cha Bawacha
 
Huyu naye jamani au wanaingia vita vya msitu wa mavuziiii kama vya komba
 
Nyie magamba acheni propaganda ambazo hazina kichwa wala miguu.

Hata mimi nimeona kwenye taarifa ya habari ya ITV, zile zilikuwa champagne, ambapo kwa kawaida, kwenye mikusanyiko ya aina hiyo yenye kukutanisha watu wa aina mbalimbali, huwa zinatumika non alcoholic champagne, sasa hapo tatizo lipo wapi?!

Wewe mleta thread hii, mbona mara nyingi, ushahudhuria harusi za wanamagamba wenzio na hizo champagne zimekuwa zikimwagwa nyingi za 'kufuru' mbona hujawahi kutuletea thread hapa jamvini, ukiwalaumu wanamagamba wenzio kuwa wanatuletea tamaduni za kigeni?!

This is the most hopeless thread of the year!

Nimeipenda hii
 
Mbunge wa kawe halima james mdee amesema kuwa chama chake na BAWACHA wanajiandaa kuingia msituni sio kupigana bali wanaingia msitu kwa msitu, poli kwa poli na kijiji kwa kijiji ili kwa muda wa Miezi miwili ili kuhakikisha CHADEMA inasonga mbele na kuenea Tanzania nzima ili kuitoa CCM madarakani.

Amesema kuwa wanawake na vijana wanamuamini hivyo atawaongoza Vizuri na hatawaangusha na wameshafanya kikao tayari na kupanga ratiba ya ziara ili kumkomboa mtanzania.

Chanzo: Habari ITV
Naanza kujuta kwa nini JF imekuwa namna hii na mimi ni member.
 
Nyie magamba acheni propaganda ambazo hazina kichwa wala miguu.

Hata mimi nimeona kwenye taarifa ya habari ya ITV, zile zilikuwa champagne, ambapo kwa kawaida, kwenye mikusanyiko ya aina hiyo yenye kukutanisha watu wa aina mbalimbali, huwa zinatumika non alcoholic champagne, sasa hapo tatizo lipo wapi?!

Wewe mleta thread hii, mbona mara nyingi, ushahudhuria harusi za wanamagamba wenzio na hizo champagne zimekuwa zikimwagwa nyingi za 'kufuru' mbona hujawahi kutuletea thread hapa jamvini, ukiwalaumu wanamagamba wenzio kuwa wanatuletea tamaduni za kigeni?!

This is the most hopeless thread of the year!

Mimi nilijua ulizionja kumbe umeziona tu!
 
Back
Top Bottom