Misitu iko ya aina nyingi, hawa BAWACHA wanataka kuingia kwenye misitu yao au?
Nawaunga mkono hata mimi nipo tayari kwenda msituni, magamba mna ujinga sana.
Misitu iko ya aina nyingi, hawa BAWACHA wanataka kuingia kwenye misitu yao au?
..... Nina Hamu Ya Kwenda Mstuni.!
Umeanza kukosa heshima mbona mnalaana nyie manyinyiemu!
haki ya mungu msalani ni punguani yaani hana akili hata kidogo aisee!!!mungu na mtume hyu ni box kichwani
Kasema Sii kupigana vita wewe akili ndogo ya ccm bali KUPATA WANACHAMA WAPYA WA RIKA ZOTE!wenzako wanakunywa chai kikombe buku 10 dodoma, wewe unalipwa buku 7 kutwa nzima
Mbunge wa kawe halima james mdee amesema kuwa chama chake na BAWACHA wanajiandaa kuingia msituni sio kupigana bali wanaingia msitu kwa msitu, poli kwa poli na kijiji kwa kijiji ili kwa muda wa Miezi miwili ili kuhakikisha CHADEMA inasonga mbele na kuenea Tanzania nzima ili kuitoa CCM madarakani.
Amesema kuwa wanawake na vijana wanamuamini hivyo atawaongoza Vizuri na hatawaangusha na wameshafanya kikao tayari na kupanga ratiba ya ziara ili kumkomboa mtanzania.
Chanzo: Habari ITV
www.ujenzi.kbo.co.kehalima mdee grt
hata mm nko tayari hata leo... Mi Mwenyewe Niko Tayari Kwenda Msituni Hata Kesho
Misitu iko ya aina nyingi, hawa BAWACHA wanataka kuingia kwenye misitu yao au?